Tafuta comment huko juu utaonaUnakuwa msahaulifu ehe? Mane ile faulo kwenye EPL ilikuwa ni red card mbona husemi?
VAR hakuna kwenye CarabaoMilner alidaka dk za mwisho refa akapeta......hivi haya mashindano hayana var?
Kuna yule kipa wa Msimbazi anajiita "AIR MANULA"... aje hapa ajifunze kuna "AIR LENO" ..sijajua ni flight namba ngapi ni Boeing au BombardierJurgen Klopp:
"Against Arsenal a draw is a really good result... Leno had a really good game." Arsenal press conference live as Mikel Arteta discusses Liverpool clashView attachment 1587551
Sio yule wa Chelsea?Kuna yule kipa wa Msimbazi anajiita "AIR MANULA"... aje hapa ajifunze kuna "AIR LENO" ..sijajua ni flight namba ngapi ni Boeing au Bombardier
Mkuu tuwaombe Man U (Pundamilia Fc) pamoja na Ng'ombe Fc(Chelshit) waanze tu kujiandaa na msimu ujao wa 2021/2022.... Huu wa 2020/2021 umeshawashinda... Hawana chao.... Waandike barua FA waende Pre season Malaysia huko na Japan wajiandae na msimu ujaoSio yule wa Chelsea?
Aaron usajil vipi mbona kama arsenal na fans wanaridhishwa na uwezo wa timu hawaitaji kusajili?Klopp on Leno's inspiring performance:
"I told Bernd (Leno) after the game that I was not too happy about that."
Usajiri bado siku 4 , still bado tupo kwenye mbio za AouarAaron usajil vipi mbona kama arsenal na fans wanaridhishwa na uwezo wa timu hawaitaji kusajili?
kuna everton aise wale jamaa watasumbua sana labda Ancellot asepe aise inatisha sana kuliko chelsea
boss wa Lyon alisema mwisho ijumaa, hakuna mtu kutoka wala kuingia.Usajiri bado siku 4 , still bado tupo kwenye mbio za Aouar
Partey imekuwa kimya. Maana kinachohitajika pale ni kutrigger release clause
Kiukweli tunahitaji kiungo hasa Aouar
Niliona Aulas kuongeza muda had jtatu tena ,boss wa Lyon alisema mwisho ijumaa, hakuna mtu kutoka wala kuingia.
alafu kuna habari ya m'badala wa partey anausishwa kiungo wa lille nathani anaitwa soumare, imekaje?