Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.
• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?
I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba
Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.
• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?
I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba
Umeongea ukweli kwa kiasi kikubwa, tatizo mashabiki wengi wanadhani ubingwa ni jambo jepesi tu, yaani wenzio wamejipanga kwa misimu kadhaa na wana invest kwenye vikosi we uje from nowhere kisa tu unafundishwa na Arteta?!
Ukiwaambia watu watakupa mfano wa Leicester, ile timu ilikuwa na consistence week in week out, tatizo tu ni kuwa haikuwa favourite kwa watu almost wote ila in terms of perfomance walistahili ubingwa.
Tukubali Liver kwa sasa sio level yetu japo tukikutana naye tutapambana kwa kadri ya uwezo wetu kama ambavyo tumewahi kuwasimamisha na ubora wao.
Arsenal is still a work in progress, given time and funds things will be okay. Kutarajia makubwa kwa sasa ni kujiumiza kama washabiki, wakitu surprise no problem tunafurahi ila wakiharibu tusipoteane.
2nahinda hiy gameHusisahau kuwa alhamisi mnakutana na Liver tena
Waacheni vijana warudi London wapumzishe akili alafu wajipange upya.Tuna nafasi nyingine ya kuwaua hawa majogoo kesho kutwa tu 😀😀 . Waambe wake zao wasonge tu ugali mboga inakuja 😀😀
Mkuu football ni game of rules na walioziweka sio wajinga. Hakuna mtu anayesema wawe pungufu ndio wafungwe kwani last time tunawafunga walikuwa pungufu?Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.
• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?
I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba
Mkuu kama lacazete kapata clear chance 2 anashindwa kufunga,acha lawama za kijinga.
Unategemea mwenzio awe pungufu ndio ushinde?
Lacazete umesahau kuwa huwa anafunga magoli magumu .....Marefa hawajui?
VAR inafavor baadhi ya timu?
Mane alistahili redcard
Jota handball
Lacazettesijui tumepigwa hapa..
Two clear chances...
Kweli kabisa,Mkuu football ni game of rules na walioziweka sio wajinga. Hakuna mtu anayesema wawe pungufu ndio wafungwe kwani last time tunawafunga walikuwa pungufu?
Juzi wamemfunga Chelsea baada ya redcard na kabla ya redcard game ilikuwa 50/50 lakini sijaona Chelsea wanalalamika kwa sababu ilikuwa ni redcard halali kwa mujibu wa sheria .
Sasa unaona tatizo gani kama timu nyingine ikicomplain kuwa nao walifanya foul ambayo pengine ilistahili redcard au wamepata goal ambalo in the process kulikuwa na foul?
Sijaona mahali Arsenal fan anasema Liver alibebwa kushinda, lakini hizo ni moments ambazo zinaweza kuamua matokeo ya game, kilichoongelewa hata hivyo ni mapungufu ya refa na pengine VAR na siyo ya Liverpool.
Lacca pia nadhani almost fans wote wamemlaumu kwa kukosa clear chances, nayo pia siyo mapungufu ya Liverpool.
Sijatoa lawama, nimetanabaisha "Kuwakumbusha Premier League....".Mkuu kama lacazete kapata clear chance 2 anashindwa kufunga,acha lawama za kijinga.
Unategemea mwenzio awe pungufu ndio ushinde?
Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.
• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?
I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba