Personal terms ni mambo kama vile mshahara, muda wa kandarasi klabuni, nafasi atakayocheza, kipaumbele atakachopewa na kocha kwenye kikosi n.k.Nasikia Lyon wamekataa second deal/bid Kwa Aour nashangaa kwa hili maana tulishajua kwamba Arsenal wameshakubalina personal terms na mchezaji sasa inakuaje Lyon wamekataa? Personal terms means club washakubali deal naona wanaturudisha nyuma tu hawa.
Personal terms ni Aouar na ArsenalNasikia Lyon wamekataa second deal/bid Kwa Aour nashangaa kwa hili maana tulishajua kwamba Arsenal wameshakubalina personal terms na mchezaji sasa inakuaje Lyon wamekataa? Personal terms means club washakubali deal naona wanaturudisha nyuma tu hawa.
Haaaa sawaBoss hapo hajakuquote wewe.
Personal terms ni mambo kama vile mshahara, muda wa kandarasi klabuni, nafasi atakayocheza, kipaumbele atakachopewa na kocha kwenye kikosi n.k.
Kwa hiyo ni ishu tofauti na kukubaliana na klabu.
Akicheza adrian ndio vizuri,na zile curve za Auba kila ikipigwa imoPia bwana Becker inasemekana anaweza asiwepo mechi ya kesho kwa ajili ya majeraha.
Ikiwa kweli hapo inabidi acheze Adrian.