Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
huyu itakuwa katokea family maskini kabla ya kuwa hapo alipo. Anakaza sana.Raisi wa ol mhuni sanaaaa
Zile game mbili za mwisho matokeo yalistua wengi, wenyewe wanadoubt Arsenal kuitwa underdogUnderdog ni wazi kwamba ni dharau “one at a disadvantage and expected to lose” nadhani Arsenal versus Liverpool siiioni Kama underdog
Arsenal ni underdog tu hawezi kurudisha goliNgoja niende jukwaa la ng'ombe Fc nikamsalimie Ollachugga naona wameshabugia3
Umesahau tulirudisha goli kwako tukiwa pungufu?Arsenal ni underdog tu hawezi kurudisha goli
tatu
I am believing this. He is the beIN sports commentator who correctly stated Arsenal will make a bid in the next 48 hours for Aouar during our game against Leicester.NEW: “Sources close to Aouar say a deal [with #AFC] will be agreed soon” [info: @derradjihafid]
Subilia huone kesh jogoo anavy lipuliwa na bomuNyie matakataka jana tungepigwa mngetusumbua sana. Ngoja kesho mkapakatwe tutajua la kuwafanya. ..
MMELIKACHA JUKWAA LENU HUKU MMEJAZANA KWENYE JUKWAA LA WANAUME
#CFC
Pund milia haushind mpak kwa mbelkoNyie matakataka jana tungepigwa mngetusumbua sana. Ngoja kesho mkapakatwe tutajua la kuwafanya. ..
MMELIKACHA JUKWAA LENU HUKU MMEJAZANA KWENYE JUKWAA LA WANAUME
#CFC
Nyie matakataka jana tungepigwa mngetusumbua sana. Ngoja kesho mkapakatwe tutajua la kuwafanya. ..
MMELIKACHA JUKWAA LENU HUKU MMEJAZANA KWENYE JUKWAA LA WANAUME
#CFC
Cc ndo 2liokuw 2na ambiw naa mwlim 2na miandk mibay hivy c shangai na ww ukisem elim yng mm ya dars7Unayoyaandika, Nina mashaka kama darasa la saba umefika, uwezo wako wa kufikiri unazidiwa na mtoto miaka saba
Boss hapo hajakuquote wewe.Cc ndo 2liokuw 2na ambiw naa mwlim 2na miandk mibay hivy c shangai na ww ukisem elim yng mm ya dars7