Usajili wa Gabriel ulikuwa within Our BudgetKanunuliwa Gabriel kauzwa nani ili kupata fedha ya usajiri wake? Kibiashara hata kama fedha unayo huwezi kufuja, so lazma tuuze ili nafasi ipatikane ya kuleta wengine,.
Sasa umejuaje kama huo mwingine uko nje ya bajeti?Usajili wa Gabriel ulikuwa within Our Budget
Dully ,Subiri dakika za mwisho, ujue Kuna klabu zinataka kutufanyia ujinga ,Atletico hawataki Ku negotiate kuhusu Partey,Umeongea vema sna, ila namba 3 hiyo sio sawa, maana arseňal haiuzi ili kukusanya fedha za kununua wengine ila inauza ilì kupunguza namba ya idadi ya wachezaji wa kigeni ili waweze kupata nafasi ya wengine kuingia katika kikosi,
Hicho ndiö kipengêle kinachowabana sana maana waliöko sasa ni 18 na hawatakiwi kuongeza wengine bila kuondoa, lakini hilo haliwafanyi kuwaondoa waliopo kwa hasara, kwasababu klabu iliwekeza fedha kuwapata, itabidi kukomaa japo iingize chochote, ndio maana wamepunguza bei za wachezaji ili waweze kununulika kwa urahisi
Na hiyo ndîo sababu vilabu vingine vinaitumia kutubananisha maana wanaona hąpo ni kwa kuweza kuchota wachezaji kujipangia bei au loan.
Yah wafanye hivo ,halafu tukamchukue Partey ,tuone kiburi chao,Arsenal wanatakiwa kupull out Deal la Torreira na ATLETICO na kumwambia Aende Italia
ila hawapaswi kukubali Bullying ya ATM ni Upuuzi
Hapana , Toreira wanataka akawe mbadala wa Herera ambaye anaondoka nadhan free au kwa hela ndogo tuAtletico wanatarajia wamuuze Hector Herrera ndiyo wawe na pesa ya kubargain juu ya Torreira tusiwaone kiburi