Niliuliza sababu ya surname yake (Shabani) ila naona ni raia wa Germany amezaliwa Munchen na amekulia academy ya Bayern kabla ya kuja Wolves.Sidhani. Yaweza kua ana mzazi mwenye jina hilo ila mimi mara ya kwanza nilimuona kwenye FIFA nikadhani mbongo
Jamani shabani ni jina lenye asili ya kiarabu wabongo tumeiga tuNiliuliza sababu ya surname yake (Shabani) ila naona ni raia wa Germany amezaliwa Munchen na amekulia academy ya Bayern kabla ya kuja Wolves.
Wazazi wake wana asili ya Kosovo Albania kutoka manispaa ya Stimlje.
Uko sahihi ila nadhani kiarabu na jamii zingine linaandikwa Shaban, Sha'ban au Shaaban.Jamani shabani ni jina lenye asili ya kiarabu wabongo tumeiga tu
Eheee ata ozil leo hachezSaliba on the bench. Torreira, Özil & Guendouzi can’t even make the bench of a carabao cupView attachment 1578595
Hana utulivu kabisa pia hayupo clinical sijui ata improve lini, kiukweli Pepe anakatisha tamaa.Nicolas Aaron Arsenal Pepe tuliharibu pesa ya wachezaji wawili wazuri.
2-0Hongereni kwa kimoja cha kupewa [emoji126]
ARS 1- 0 LEI