Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona jukwaa lina hoja nzito kati ya el neny na sijui ceballos nan aanze sisi kama liverpool tunawaambia anzishen wote na bado mtakunywa sio chin ya goli tatu pale anfield kama kawaida yenu
umekariri?
 
Naona jukwaa lina hoja nzito kati ya el neny na sijui ceballos nan aanze sisi kama liverpool tunawaambia anzishen wote na bado mtakunywa sio chin ya goli tatu pale anfield kama kawaida yenu
Haiwezekani
 
Unajua enzi za Wenger alikua anadiscourage kushuti nje ya box alipenda watu waingie ndani ya box ndiyo wascore. Pep anadiscourage hii tabia pia lakini screamer la Kompany ndiyo liliwapa ushindi uliowapa kombe mbele ya Liva kwa tofauti ya point 1.

Elneny akiwa nje ya 18 na ana opportunity ya kushut hashindwi na hasiti ni atashuti tu. Hawa watu ni muhimu unapocheza na timu kama Man U, Chelsea na zote zenye kipa mapazia na timu kama Liva yenye kiungo inayosapoti defense mno. Ceballos atataka kuingia ndani hata kama amekua presented with the opportunity to shoot.

Elneny ana nguvu, stamina yet anaweza kupiga chenga na kupiga pasi vizuri.

I want this guy kwenye mid siku hiyo
 
Elnenny All the Way
 
Binafsi na prefer Xhaka Ceballos

Napenda sana wapo Rigid ,hivi kwanini mnasema Ceballos hana stamina?

Ni kweli Elneny anamzid Ceballos Stamina ?

Kwenye pass accuracy nawakubali wote.
 
Elneny sio mtu wa kushambulia mzee wangu,kipindi cha Wenger tulikuwa tunamponda kwa back passes, lakini sasa hivi kajijenga vizuri,yupo vizuri, nahisi mfumo unamfavors.
Paka muda huu tunakosa kiungo mwenye offensive attribute nzuri ili kujenga fear factor kwa wapinzani kama alivyosema mdau hapo juu,ndio maana kila siku mimi nalia na Aouar.
 
If you have solid mid kuattack huja automatically. Liva ana kiungo gani mwenye sifa za Aouar?
 
If you have solid mid kuattack huja automatically. Liva ana kiungo gani mwenye sifa za Aouar?
Liver na Arsenal wanapitia pembeni kuattack,maana yangu timu lazima iwe na options nyingi kuattack ili tuwe clinical zaidi,Westham juzi kama tungekuwa na mtu wa kuwafungua katikati ni wazi wangekufa goli nyingi.
BTW liver washampata Thiago wametibu ilo tatizo.
 
Binafsi na prefer Xhaka Ceballos

Napenda sana wapo Rigid ,hivi kwanini mnasema Ceballos hana stamina?

Ni kweli Elneny anamzid Ceballos Stamina ?

Kwenye pass accuracy nawakubali wote.
yule farao achoki haraka ujue afu mtulivu sana kwenye kupokea na kuachia mipira kwa wenzake.

nadhani ceba aingie sub pindi viungo wa liver wakiwa anaelekea kuchoka.
 
Binafsi na prefer Xhaka Ceballos

Napenda sana wapo Rigid ,hivi kwanini mnasema Ceballos hana stamina?

Ni kweli Elneny anamzid Ceballos Stamina ?

Kwenye pass accuracy nawakubali wote.
Binafsi nampa credit sana Arteta, fans wa Arsenal kwa sasa tunakinzana hoja juu ya nani apangwe na nani ili tupate matokeo kirahisi na sio asipo kuwepo fulani ndio basi.

Miezi michache nyuma tulikuwa tukikutana na timu kama Liver mkakati wetu ni kupunguza magoli au angalau kumlaza na viatu kwa kutufunga kwa mbinde, kwani tunajua tutafungwa tu.

Elneny, Xhaka na Mustafi iliaminika kuwa hawana nafasi kabisa ya kuendelea kuwepo Arsenal lakini kwa sasa chini ya Arteta wamekuwa ni sehemu muhimu ya kikosi.

Baada ya kupoteza mechi na Aston Villa last season, bila ukakasi pundits almost wote walianza kuzungumzia ugumu wa Arsenal kusajili kutokana na kupoteza nafasi ya kushiriki Europa kupitia kwenye ligi.

Nafasi pekee ilibaki kupitia FA Cup ambayo nayo ilionekana ni next to impossible. Semi final tulikuwa na City na tukivuka tunakutana na Chelsea/Man U kwenye final.

Hata baada ya kuwaua City na Chelsea kwenye semi final na final respectively Arsenal went on to win the FA Community Shield in front of Liverpool (the reigning Epl champion), haya yote yametukia in the space of two months, what a transformation!! Bravo Arteta!!
 
Msimu uliopita gemu na Liva nilisema tunamhitaji Pepe na Ceballos. As timu ikifanikiwa kukaa mpira kwa muda mkubwa wachezaji wa timu pinzani wanakua frustrated na kujiamini kunakata.

Nikataka Ceballos na Pepe wawepo as these two wana uwezo wa kukaa na mpira na hiyo ingetusaidia.

Wote walikuwepo lakini hawakua vile nilivyowapatia picha. Pepe ni Iwobi, too much juggling hata anapokua na options za kushoot. Na ndiyo tabia aliyoifanya ile siku.
Ceballos alijitahidi kwa nguvu zote ila mid nzima ilikua mdebwedo siku ile, sikumbuki ila nahisi alitolewa.

Leeds walipata goli 3 kwakua hawakukaa kusubiri Liva aje, waliubeba ugomvi mpaka mlangoni kwa Liva. Liva trembled, Chelsea opted to stay ilikua shit as ikawalazimu kukaba mno na ndiyo zikaja zile yellow.

Fainali ya FA hata sisi tuliopt kustay, surprisingly we won but we have to drop such a bad habit.

Hilo likae kando.....

Kesho tuna Leicester, mpira wa long pass na counter na kudefend as a unit Vardy ameshakua mamba he has his place among best scorer ila siiwazii hii game.

Pia atakayepasuka game ya Carabao ndiyo katoka so natarajia kikosi kitakua serious.

Let's do this...

This is Family
 
Great observation gspain!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…