Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Good analysis congratulations budaa
 
King ni ntu na nusu na Mosdef ,n.k Liverpool fans mpira wanaujua in and out
Umenikumbusha mwaka juzi nilikuwa Arusha kuna mwamba anajiita mr liverpool bana yule jamaa ukimsikiliza anaongelea mpira uatatamani asimalize yaan fans wa liver hawana ushabiki wa timu Bali wanajua kufatilia mpira na hapa ndo namwona gspain
 
Yees, ni kweli kabisa namkubali sana King Ngwaba yuko vizuri sana anaujua mpira na pia yuko na data za kutosha, ukijadili naye issues za mpira unapata madini na kujifunza mapya pia.
Namheshimu huyo jamaa nilitamani awe arsenal but now naona gspain anapita Njia hizo
King ni ntu na nusu na Mosdef ,n.k Liverpool fans mpira wanaujua in and out
 
Martinez kacheza penati huko
Huyu dogo basi tu hatuwezi kusikitika sababu deal lake ni win-win kwa pande zote, katupa hela nzuri naye kapata timu ya kucheza 1st eleven.

Sheffield Utd watajilaumu sana wakipoteza hii mechi, wamekosa penalty huku wakiwa nusu. Ila so far bado wameimiliki game vizuri sana pamoja na kuwa pungufu.

Hawa Villa wakiendelea hivi watarudi Championship msimu ujao.
 

West Ham walibana aisee daaah. Yaani kuziba channels kama sisi tunavyofanyaga na waliwapa kina Xhaka wakati mgumu. Ni kweli kabisa hizi timu zikicheza na timu kubwa zinakuwa ngumu na umakini dk 90 ni muhimu sana.
 
Walud2 na wao hawana koch mzur km city
 
Kwenye game ya PES PS4 timu ya Liver default settings kwenye attack inatumia Attacking fullbacks na defense wanafanya systema inaitwa Gegenpress.

Hii gegenpress mchezaji wa timu pinzani akiwa na mpira anajikuta kazungukwa na watu 3 wote wameufuata mpira.
Hii defensive technic nimeona ilivyoisumbua Chelsea na ilivyotusumbua Arsenal.

Wanapoteza mpira, wanaupata fasta kisha wanaweza kukaa nao kwa muda mrefu.

Kwenye gemu ili kushinda timu yenye mfumo huo hua inabidi ucheze tikitaka au counter huku viungo wako wakiwa strong ama la wawe wengi kati so naona formation yetu ikitubeba mbele ya Liva swali ni "Tutaweka watu sahihi?"

Haswa katikati na upande wa kulia. Bado karata yangu nampa Elneny, pale katikati bado Elneny ana maisha yanamsubiri. Kwangu mimi Xhaka na Elneny ni pair nzuri dhidi ya Liva.

Na huku kulia akae Willian. Ingawa Willian anaweza shine mechi hii inayofuata akabanwa haswa lakini ni bora yeye kuliko Pepe, anajua kucut in na kuscore kumzidi Pepe.

Let's hope Milner atakuwepo ili acheze rafu kama kawaida. With enough frustrations anaweza hata kupata red.

Hizo ni akili za game.....
 
Binafsi I choose Elnenny any Day mbele ya Ceballos

Elnenny ana displine ya kupiga pass alafu ana Nguvu sana

pia AMN ni muhimu sana kuwepo kwenye Kiungo anaongeza STEEL, kitu sitaki katika Kikosi Anfield ni Kuanza XI na SAKA na CEBALLOS

lakini Pia Kwenye Defence kutokuwepo kwa Tierney ni Shida so Luiz, Gabriel, na Holding ni Option nzuri zaidi kwa 3 CB at the Back


kama Ulivyosema WILLIAN ataanza game nyingi zaidi mbele ya Pepe hili halina Ubishi Willian ni Deadly na ana offer Defensive Duties
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…