joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,933
- 40,129
Naona leo mmekubali kulala bila chupi hapo hapo darajani kwenu mwanaume kajipigia.Karibuni sana mje muone wanaume wanavyo sakata kabumbu safi,lakini mwisho wa mechi msiwe wazito kuja kutoa pongenzi kwa wanachelsea,coz leo Liverpool hatoboi.
Tungefanya 'swap' na partey then tuwaongezee chenji kidogo.According to the reliable @SebasGiovanelli, Lucas Torreira is very close to becoming an Atletico Madrid player. #Arsenal View attachment 1575511
Ndio kinachofanyika kaka ,Kama tunamuuz Toreira €25m bas tutaongeza another €25m tunamaliza biasharaTungefanya 'swap' na partey then tuwaongezee chenji kidogo.
Kilichopo had sasaTungefanya 'swap' na partey then tuwaongezee chenji kidogo.
Itakua biashara nzuri sana kwetu..Ndio kinachofanyika kaka ,Kama tunamuuz Toreira €25m bas tutaongeza another €25m tunamaliza biashara
Hata hivo Toreira anaenda kama mbadala wa Partey
Sasa jiulize Partey anaenda wapi
Tayari huko instagram Ndugu wa Toreira wameanza kufollow Atletico
Wow!!Kilichopo had sasa
research inaonesha Torreira’s friend follow Atleti on socials and @Delazig(msemaji wa Partey) responding to Partey to Arsenal tweets
Partey at the Emirates soon
Niliwaandika makala juz kuhusu ni RAHISI elneny kufaulu kwa Arteta kuliko Toreira ,Naombea sana Atletico wamsajili LT11,Kwanza atakuwa kaenda timu nzuri kwa upande wake, pili itatupa fursa za kumnasa Partey na Aouar kwa pamoja.
El cholo mpira wake wa kihuni huni kwahyo wachezaji wahuni wahuni na ambao wanafika mpaka uvunguni Kama LT11 ndo unaowafaaNiliwaandika makala juz kuhusu ni RAHISI elneny kufaulu kwa Arteta kuliko Toreira ,
Ingawa Toreira anamzid sana tu Elneny
Lkn ni Rahis Toreira kufaulu kwa Simeon au Mourinho
Toreira kwa Simeon atafanikiwa sana, Simeon Anapenda sana Type ya Wachezaji kama Toreira
Subiri siku ifike36PL games to go..
Next opponent ni liverpool afu away,Mara ya mwisho kwenye league pale anfield Liverpool alifungwa mwaka 2017 Kama kumbukumbu zangu zitakua sawa,
Kiukweli game ni ngumu pande zote mbili,ila naona siku hizi Liverpool makali yake yanaanza kupungua yaani sio Liverpool ile ya kufanya pressing muda wote ya msimu uliopita,
Hata kwenye game ya leo jirani yetu kikubwa 'kilichom cost' ni ile red card na upambavu wa joginho kupiga penalty Kama anaruka mtaro,
Advantage yetu sasaiv ni kua tuna morali na at least tactics za mwalimu zipo vyema(sio za Yule tapeli unai maana kuna mechi vs Liverpool,Auba aligusa mpira Mara 14 tu),
Ni matumaini yangu Kama sajili Muhimu zikifanyika katika huu msimu Kama vile kuwaleta partey na aouar,Basi haters wote wajipange
My prediction
Liverpool 1:2 Arsenal
Sawa chief.Subiri siku ifike
Niliona umeandika hiyo kitu juzi, then nikasikia Simeone anamtaka!.. Wewe bro unaujua sana mpira!.Niliwaandika makala juz kuhusu ni RAHISI elneny kufaulu kwa Arteta kuliko Toreira ,
Ingawa Toreira anamzid sana tu Elneny
Lkn ni Rahis Toreira kufaulu kwa Simeon au Mourinho
Toreira kwa Simeon atafanikiwa sana, Simeon Anapenda sana Type ya Wachezaji kama Toreira