Kukosekana kwa Kieran Tierny ,na Niles niliona mapengo yao
Saka alicheza vzr ,ila alicheza sana kama LCM , Sio Kama LWB kama ilivyotakiwa ili amsaidie sana Auba kupata space
Kolasinac alikuwa ovyo
Hivo hatukucheza vzr ukizingatia westham walihitaji Point.
View attachment 1575032View attachment 1575033