Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Leo tuna jambo letu pale darajani, karibuni sana.Niaminishe kama gemu ya kesho haitakusumbua
Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.Hatari.
Tumedominate game yet ushindi mwembamba.
Creative mid inahitajika.
Am disapointed Elneny... Ila hata hivyo Ceballos kaamsha hatari anastahili man of the match.
Ni ushindi yea ila ni kwa mbinde.
Nawangoja Chelsea.
ndiyo tnamtaka chelish huyo saizi yetu π€π€Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.
Juz juz ,si westham kakupiga 3 wewe ,au umeshasahau?Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.
Ssa ww ulitk wa2 wechez vp??Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.
Mmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.Ssa ww ulitk wa2 wechez vp??
Au wapae na mipira
Chelsea kwa mpira iliyocheza na Brighton unadhani natakiwa kuihofia?Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.
Timu nzuri inakamua point tatu hata kama haichezi vizuri.Mmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.
Chelsea hii ya kuungaunga iliyotolewa jasho na brington?Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.
Tunahamia leo Darajani sio baada ya mechi hatukuoni.Leo tuna jambo letu pale darajani, karibuni sana.
Ushindi wa leo ni muhimu sana.
#CFC πππ
Kwa Sasa , na Bado hatujasajiri eneo la kati, na Kufanya rotation ya kikosMmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.
Karibuni sana mje muone wanaume wanavyo sakata kabumbu safi,lakini mwisho wa mechi msiwe wazito kuja kutoa pongenzi kwa wanachelsea,coz leo Liverpool hatoboi.Tunahamia leo Darajani sio baada ya mechi hatukuoni.
Goli la pili.Mmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.
Raia wa wapi huyu
Wewe umetukana ila sijakupiga ban kwasababu najua unatafuta sababu ili ukajichimbie baada ya game, wewe ban utajipiga mwenyewe mida ya saa 3Leo tuna jambo letu pale darajani, karibuni sana.
Ushindi wa leo ni muhimu sana.
#CFC
BrazilianRaia wa wapi huyu