k.shuku kibosho
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 278
- 269
ili dili la huyu Raya mbona lina pesa nyingi sana! alafu wanataka na Runar kwa mpigo.....ukigeukia upande wa pili wa kupata viungo mbona arsenal inadai hakuna pesa mara mpaka waondoke watu ndo wajee! hii inakajee AroonBoth goalkeepers Runar #Runarsson & David #Raya will join #Arsenal this summer. #AFC
mkuu, xhaka anacheza wapi hapo kati ya 1 na 2?Nafasi ya Partey Arsenal inazibwa na Elneny. Sitoshangaa akimuopt Houssem over Partey.
Arteta Man city walikua wanacheza 4 3 3 ambayo ikinyumbuliwa inakua 4 1 2 3 ambapo hiyo 1 ni Dmf Lodi, na 2 ni amf De Bruyne na Silva. Akija Houssem na Partey anaweza adopt hii na 1 ikawa Partey halafu 2 ikawa Houssem na Willian.
Problem ni kuwa bila midfield imara usitegemee positive results kila mara,forward zetu ni one among the best in the world na pia tumejitahidi eneo la defence ila mpaka sasa timu haijabalance na Arteta ameshalisema hilo akijua kati bado pana udhaifu ukiangalia kwa jicho la 3 utaona nachokisema ila kwa macho mawili panaonekana papoElneny at your service...
Hapo xhaka yupo bench boss,mkuu, xhaka anacheza wapi hapo kati ya 1 na 2?
Boss,Hii ni single pivot?Nafasi ya Partey Arsenal inazibwa na Elneny. Sitoshangaa akimuopt Houssem over Partey.
Arteta Man city walikua wanacheza 4 3 3 ambayo ikinyumbuliwa inakua 4 1 2 3 ambapo hiyo 1 ni Dmf Lodi, na 2 ni amf De Bruyne na Silva. Akija Houssem na Partey anaweza adopt hii na 1 ikawa Partey halafu 2 ikawa Houssem na Willian.
YeaBoss,Hii ni single pivot?
Mimi nahusudu sana midfield katika timu. Hivyo usiwe na shaka nikikwambia Elneny ni mtu na nikikwambia kumuuza Torreira tunakosea.Problem ni kuwa bila midfield imara usitegemee positive results kila mara,forward zetu ni one among the best in the world na pia tumejitahidi eneo la defence ila mpaka sasa timu haijabalance na Arteta ameshalisema hilo akijua kati bado pana udhaifu ukiangalia kwa jicho la 3 utaona nachokisema ila kwa macho mawili panaonekana papo
Barcelona haijawah kuwa na beki bora katika kipindi walichotesa Duniani but angalia midfield na washambuliaji wao walikuwaje timu pinzani zilikuwa hazichezi mpira hata kidogo ila angalia sasa hivi baada ya midfield kufa kifo cha mende
Xhaka anacheza kwenye 1.mkuu, xhaka anacheza wapi hapo kati ya 1 na 2?
Elneny ni kiungo mzuri ila sio first au second class midfield licha si kiungo mbaya ukitaka kuamini hilo huu ni mwaka wa ngapi Elneny anazurura timu tofauti ila hauziki kote huko?Mimi nahusudu sana midfield katika. Hivyo usiwe na shaka nikikwambia Elneny ni mtu na nikikwambia kumuuza Torreira tunakosea.
Well msimu umeanza. Atamprove wrong mmoja wetu kati ya mimi au wewe.Elneny ni kiungo mzuri ila sio first au second class midfield licha si kiungo mbaya ukitaka kuamini hilo huu ni mwaka wa ngapi Elneny anazurura timu tofauti ila hauziki kote huko?
Well msimu umeanza. Atamprove wrong mmoja wetu kati ya mimi au wewe.
kama ni 1 basi atakuwa anacheza namba 6, kiuwalisia jamaa sio mzuri kabisa, xhaka ni mzuri kwenye 8 ambapo anapiga mipira mirefu na kusambaz kwa chini na kufunga kwa mbali!Xhaka anacheza kwenye 1.
Arsenal wanamtaka Raya kwa £10 na Runar kwa £1.5. Kwa hiyo itaigharimu Arsenal £11.5 kuwapata makipa wote wawiliili dili la huyu Raya mbona lina pesa nyingi sana! alafu wanataka na Runar kwa mpigo.....ukigeukia upande wa pili wa kupata viungo mbona arsenal inadai hakuna pesa mara mpaka waondoke watu ndo wajee! hii inakajee Aroon
Hapo ndipo yanadhihirika Yale maneno ya C.E.O alisemaili dili la huyu Raya mbona lina pesa nyingi sana! alafu wanataka na Runar kwa mpigo.....ukigeukia upande wa pili wa kupata viungo mbona arsenal inadai hakuna pesa mara mpaka waondoke watu ndo wajee! hii inakajee Aroon
Kudos kwa maelezo.Washika mitutu wenzangu,Ni kweli El neny kipindi Cha nyuma alikua 'mediocre player' kutokana na tactics mbovu za mwalimu wetu UNAI ama la,
Sote tumemuona katika hizi game mbili zilizopita,amecheza vema sana na ametu 'prove wrong' baadhi yetu na nakumbuka wakati line up yetu ya CS vs Liverpool imetoka kabla ya game,Kwenye platforms mbali mbali za arsenal watu walilalamika sana juu ya uwezo wa El neny lakini end of the day ikatokea Kama ilivotekea,
Hivo basi,Sisi Kama 'do and die' fans wa arsenal hatuna budi kumpa El neny mioyo yetu Kama tunavyowapa wechazaji wengine,kumbukeni hata XHAKA kipindi Cha UNAI alikua flop(mpaka kuna game akazomewa) lakini sasaivi yeye ndo engine ya timu yetu pendwa,
Honestly Nina Imani na El neny hususani kwenye rotation ya kikosi
#This time is for us
#COYG.