asante sana mkuu kwa updates ndio naingia nyumbani hapa na nilikuwa nafatilia matokeo kwenye simu.
nakuunga mkono kumpa al habsi man of the match naona ana save 7.
Inabidi tuongeze magoli zaidi tuchukue points manake man united kashashinda 3 tayari.
Vipi mpira wetu lakini kwa ujumla kipindi cha kwanza?