Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Fans saa nyengine pia ni wapumbavu.ulitaka aache jamaa amvunje? mnamuonea sana Nketiah, Ceballos kakosea sana kunyanyua Mguu dogo kachukia ila Fans wote wako against him
Wanaosema Leeds hawana jipya nawashangaa sanaLeeds wanaupiga mwingi sana. Liver waliokolewa na Penati ya dakika za majeruhi...
Kwa Arteta wala usihofu , amekaa chini ya Pep , anajua Kila nafas unahitaji hadi watu watatu Quality ,Kama kumbukumbu zangu zitakua vzr 2015/2016 tulikosa ubingwa kwa kukosa depth of squad..
Cazorla na Francis Ququelin walikuwa wameelewana kinoma ule msimu,Ila baada ya uncle cazorla kuumia timu nzima ikawa flop,
Kama huu msimu tukifanikiwa kua na depth ya kikosiii,tutafanya rotation ya kutosha ili ku avoid fatigue kwa wachezaji,
Nitafarijika sana Kama auor na partey transfer zao zikiwa completed soon..
This is our time
#COYG
Arsenal wangetupa hawa watu this window asee ningevimba sana kwny vibanda umiza.Kama kumbukumbu zangu zitakua vzr 2015/2016 tulikosa ubingwa kwa kukosa depth of squad..
Cazorla na Francis Ququelin walikuwa wameelewana kinoma ule msimu,Ila baada ya uncle cazorla kuumia timu nzima ikawa flop,
Kama huu msimu tukifanikiwa kua na depth ya kikosiii,tutafanya rotation ya kutosha ili ku avoid fatigue kwa wachezaji,
Nitafarijika sana Kama auor na partey transfer zao zikiwa completed soon..
This is our time
#COYG
Haya maisha haya jamani,yule tapeli UNAI alitufanya tumchukie XHAKA wa watu.Kwa Arteta wala usihofu , amekaa chini ya Pep , anajua Kila nafas unahitaji hadi watu watatu Quality ,
Anaondoka Toreira , tunabaki na Xhaka ,ceballos ,pia Elneny anabakizwa , na kuongezwa viungo wengine wenye Quality
Kama atakuja mmoja wapo kati ya Aouar au partey sio mbaya .
Tayari kule mbele hakuna matatizo, Akitoka pepe anaingia Willian. , pia kwa laca bado Auba anacheza ,kule LW ,willian anacheza pia
Hapo Hata Saka anatakiwa apiganie namba , sijamtaja Nelson
Yaani mpaka akazomewa na Arsenal Fans. Ajabu kabisaHaya maisha haya jamani,yule tapeli UNAI alitufanya tumchukie XHAKA wa watu.
Kwa Arteta wala usihofu , amekaa chini ya Pep , anajua Kila nafas unahitaji hadi watu watatu Quality ,
Anaondoka Toreira , tunabaki na Xhaka ,ceballos ,pia Elneny anabakizwa , na kuongezwa viungo wengine wenye Quality
Kama atakuja mmoja wapo kati ya Aouar au partey sio mbaya .
Tayari kule mbele hakuna matatizo, Akitoka pepe anaingia Willian. , pia kwa laca bado Auba anacheza ,kule LW ,willian anacheza pia
Hapo Hata Saka anatakiwa apiganie namba , sijamtaja Nelson
Kwa Arteta wala usihofu , amekaa chini ya Pep , anajua Kila nafas unahitaji hadi watu watatu Quality ,
Anaondoka Toreira , tunabaki na Xhaka ,ceballos ,pia Elneny anabakizwa , na kuongezwa viungo wengine wenye Quality
Kama atakuja mmoja wapo kati ya Aouar au partey sio mbaya .
Tayari kule mbele hakuna matatizo, Akitoka pepe anaingia Willian. , pia kwa laca bado Auba anacheza ,kule LW ,willian anacheza pia
Hapo Hata Saka anatakiwa apiganie namba , sijamtaja Nelson
Kweli aisee , dah , Halafu huyu kurud had JanuaryAisee Aaron Arsenal unamsahauje Gabriel Martinelli hapo mbele?
dah maisha yanaenda haraka sana, ghafla tumekuwa na 'vifaa' hadi dogo tunamsahau.
Aisee injury yake ilikuwa kubwa sana? Ila kwa sasa hatuna mawazo, pale mbele tuko vizuri tuna players wa kutosha. Kwenye kiungo ndio bado kidogo, kwangu me tukimpata mmoja tu kati ya Partey na Aouar itakuwa fresh sana,hasa hasa Partey.Kweli aisee , dah , Halafu huyu kurud had January