Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Msimu wetu huu....
Tupo vizuri hata tucheze na Barca usiku huu anakufa 5Hii timu yetu inaonekana imebadilika sana kimchezo.
Hii jezi yetu imetulia sana...
Tukimuongeza Houssem aouar itakuwa poa zaidiYaani hadi Granit Xhaka anaonekana anafurahia kuucheza mpira pale katikati.
Hector beki wa Fulham anamuumiza Xhaka kwa kumkanya'ga.
But Xhaka is ok, lakini anatoka game laendelea.
Dakika yaenda ni ya 75
Nikolas Pepe anaingia.
Mkuu hapa umeongea bila ushabiki.Usisahau kua, kila mwanzo wa msimu huwa munaongozaga ligi.
Mwisho wa ligi munajikuta nafasi ya 7.
Ila nikiacha unafki, mume cheza vizuri.
Yule Gabriel sio mtu mzuri,namtabiria kufanya vizuri EPL.
Kuhusu William, Ollachuga huko aliko naamini roho inamuuma, sema ndio hana neno, uongozi umeshaamua.
Kiufupi Arsenal mwaka huu nawapa nafasi ya kumaliza ndani ya top four.
GGMU
Hapo sawaHua siangalii. Nikilala naota mechi zote za siku hiyo.
Kumbe target nikumaliza top4 siyo kuchukua ubigwa!Mkuu hapa umeongea bila ushabiki.
Huu ndio uhalisia, tupo vizuri mwaka huu tunaweza tukamaliza ndani ya top four
Hatutakaa tuongelee ubingwa kwa sasa. Sio malengo rasmi ya timu.Kumbe target nikumaliza top4 siyo kuchukua ubigwa!
Toreira na gunduz sion wakibakiXhaka - Ceballos - Elneny - Toreirra - Guendouzi - Maitland-Niles
Lets move we good.