Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Muongo. Mihemko ndiyo hadi analiwa mate? Huyu kocha yupo sawa kweli?Hii mihemko tu ya washabiki baada ya furaha ya ushindi...View attachment 1560478
Kwani kagomewa kujiuzulu? Si alisema hataki tena kudaka amegundua fani yake siyo mpira?Ndio alikaa kepaView attachment 1560477
Tulia tutamuondoa mmoja mmoja , kama yule wa JanaNawaageni Nahisi hii Platform haifai...
Ujinga mwingi
upuuzi umezidi humuTulia tutamuondoa mmoja mmoja , kama yule wa Jana
Tutawaondoa mmoja mmoja , Ni tatizo hili ,lkn soon hutawaona hapa ,tumeanza na yule anayejiita Putin V ,upuuzi umezidi humu
unaweza kuwa humu kumbe uko na watoto wako wa rika la kuwazaa kwa akili za wanavyo post akyamunguTutawaondoa mmoja mmoja , Ni tatizo hili ,lkn soon hutawaona hapa ,tumeanza na yule anayejiita Putin V ,
Watafata hawa wengine
Kuna vijana wana stress kwahiyo wanaona hii ndio platform yakuzitulia hapa, huu ujinga tutaukomesha ,yule mwingine akirud atakuwa na adabuunaweza kuwa humu wa watoto wako wa kuwazaa kwa akili za wanavyo post akyamungu
ujinga ujinga tu
Official:
Arsenal will face Leicester City at the King Power stadium in the third round of the Carabao Cup this season.
Magufuli katoa ajira za ualimu changamkia fasta,usije kuwehuka kwa ganja.
Arteta lazima abebe ndoo yoyote msimu huu , Kama sio moja basi mbiliNaona hata kikombe hiki msimu huu tukipiganie tu maana kuna watu humu wanachuki na sisi sana. Tukikosa kikombe watajazana humu wao kuliko sisi. 😀
Arteta lazima abebe ndoo yoyote msimu huu , Kama sio moja basi mbili
Kwa Arteta ni kazi ndogo, wakileta Partey na Aouar basi imeisha hiyoKubeba ndoo siyo kazi ndogo. Tumuombee baraka
Kwa Arteta ni kazi ndogo, wakileta Partey na Aouar basi imeisha hiyo
Haahaaaa Unaumwa wewe unafikiri atabahatisha tenaArteta lazima abebe ndoo yoyote msimu huu , Kama sio moja basi mbili