Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Seeing our Hale End boy Bukayo Saka celebrate his 19th birthday just reminds us what a remarkable pool of talent we possess at Arsenal Football Club.
The future is bright

•••
 
Bukayo Saka turns 19 today.

4 goals, 11 assists in 2019/20

FA Cup winner

Community Shield winner

PFA YPOTY Nominee

Europa league Young player of the year

Happy birthday @bukayosaka
 
Seeing our Hale End boy Bukayo Saka celebrate his 19th birthday just reminds us what a remarkable pool of talent we possess at Arsenal Football Club.
The future is bright

•••View attachment 1560454

Binafsi. Willock, Nelson na Nketiah nawaona kama wako nyuma sana kimaendeleo na wanapata nafasi kwa sababu hatuna backup players wazuri kwenye timu. Hao wengine wanajitahidi. Nakumbuka Michael Owen alikuwa msumbufu sana tu akiwa mdogo kuliko hawa. Ryan Giggs naye kama sikosei. So tusiwaendekeze kuwa bado vijana, wanatakiwa kupiga kazi.
 
Nelson anaenda kukua vzr msimu ,nketiah bado anahitaji game time

Willock aende mkopo
 
Willock mpaka tusajili AMD mwingine otherwise hawez kutoka
Atakuwepo tu hata tukisajiri ni moja ya home grown player , hata msimu huu pamoja na ufinyu wa kikos ,bado Mikel hakumuamini kumuanzisha kikos cha kwanza
 
Atakuwepo tu hata tukisajiri ni moja ya home grown player , hata msimu huu pamoja na ufinyu wa kikos ,bado Mikel hakumuamini kumuanzisha kikos cha kwanza
Game ya Liverpool alipoingia yeye na Kolasinac tukarudi mchezoni Kiungo ilikuwa imechoka balaa tunapigiwa nusu uwanja
 
Newcastle wanamtaka nketiah kwa mkopo

Arsenal kupeleka ofa mpya kwa partey siku 5 zijazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…