Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wamelipiza what a goal from them hii defence hakuna kitu hapa
 
wanaweza RUDI hawa.....................I hate THIS!!!!!!!!! Why cant we keep a CLEANSHEET to such underdogs?????????????????????????
 
Dah wamepuguza deficit tumerudi pale pale . Ila goli kali kweli
 
wanaweza RUDI hawa.....................I hate THIS!!!!!!!!! Why cant we keep a CLEANSHEET to such underdogs?????????????????????????

Mashuti ya mbali yanasaidia sometimes mkuu,sisi tu ndio hatupendi kujaribu lakini hakuna wakumlaumu kwa hili goli.
 
Du!!! Tuache Ushabiki wadau...Goli la LEEDS kali kinyama.....Mimi binafsi nimelipenda na ninadiriki kusema lile shoot ni three times lile la SAGNA.....it was like a flash....Hata Kipa hakuliona zaidi ya kupredict direction......NI NOUMA............
 
Haya sasa kipindi cha pili.Wenger angemtoa bendtner na ku,leta walcott naona kule Winger wanatupa nafasi ya kutosha walcott anaweza kuwa mwiba kwao.
 
Haya sasa kipindi cha pili.Wenger angemtoa bendtner na ku,leta walcott naona kule Winger wanatupa nafasi ya kutosha walcott anaweza kuwa mwiba kwao.
Yule mzee huwa ni very slow kufanya maamuzi utashangaa anamuingiza bado tano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…