Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,180
Wewe mbona unashindwa kuiacha kuiongelea historia yako? Na sisi pi ni history yetu.Haka kawimbo ka~Ndani ya Miaka 10 mtakiacha lini? Hivi hamuoni aibu kwa timu iliyoanzishwa kabla ya vita ya dunia kuongea huo utopolo daily
Chelsea bado ni timu ndogo, sikia kocha wa Pulisic anavyomwambia ,Hahahaha dah eti Kepa kapazia, Kepa akija apo arsenalakosi namba uo uhakika nakupa ..ubahili wenu ndo umefanya adi sasa munaishia nafasi za nane uko ..angalia vyuma tulivyonunua vilileta impact gani apo London ..ninyi na watoto wenu wa academy mmeishia kuwa daraja la kutengeneza vipaji halafu wanaume wenye pesa zetu tunavuta na kubeba makombe. Ndo maana tunasema ninyi ni timu ndogo. Yani unapita mbele ya watu unatamba kuwa mchezaji ghali uliyenunua ni Pepe
Sasa wewe na AstonVilla mna tofauti gani.
Sisi ndo tunafanya mvimbe apo London, maana mkitufunga(kama juzi) basi ni khabar ya dunia. Maana mmefunga timu kubwa.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Point uliyoongea hapo mechi 77-65=12 hesabu mechi 10 napunguza gap mechi 7 namaanisha nakufunga zote pengine hizo zilizobaki unaweza toa draw kwa sababu toka 2010 tumekutana mara 30 sisi tumeshinda mara 13, nyie mmeshinda mara 10 draw zilikua 7Angalia hapa.
Katika mara zote Arsenal na Chelsea zilipokutana Arsenal imeshinda mara 77 na Chelsea wameshinda mara 65.
Mara ya mwisho kukutana Arsenal ilishinda 2 kwa 1 na Arsenal ikachukua kombe la FA.
Ushindi mkubwa kabisa ulikua 1930 ambapo Arsenal alishinda 5 - 1 hilo deni lilikaa kwa miaka 84 mpaka Chelsea alipoifunga Arsenal 6.
Overall trophies Arsenal ina vikombe 48 wakati Chelsea wana vikombe 35.
Kiukweli kabisa rival mkubwa wa Arsenal ni Tottenham kisha anafuata Man U halafu ndiyo Chelsea.
Ndiyo maana mchezaji anaweza kwenda Man U au Chelsea ila inakua ngumu kwa Tottenham.
Kwahiyo Chelsea haina umuhimu kwa Arsenal, kabla ya 2003 umewahi kusikia timu inaitwa Chelsea? Arsenal imemanage kwenda UCL, kuitembezea kipigo Chelsea, kujiongezea trophies na huku ikiwa inajenga uwanja bila kununua wachezaji wa bei kubwa kama Chelsea walivyokua wakifanya.
Pia nimesahau, Chelsea haina uwanja nyinyi ni kama Yanga au Simba.
Sasa unaibeba London gani mzee? Ya Kinondoni?
Unanifurahishaga kwa kupiga ramliPoint uliyoongea hapo mechi 77-65=12 hesabu mechi 10 napunguza gap mechi 7 namaanisha nakufunga zote pengine hizo zilizobaki unaweza toa draw kwa sababu toka 2010 tumekutana mara 30 sisi tumeshinda mara 13, nyie mmeshinda mara 10 draw zilikua 7
Makombe 48-35=13 hapo unajua mwenyewe nini kitafuata ndani ya muongo mmoja ujao tunazidi kupunguza gap kwa sababu toka 2010 nimeshinda makombe 10 wewe umeshinda 5 unataka nikwambie nini unachohofia kwa Chelsea ndani ya miaka 10 ijayo? Mshaanza kuelewa wenyewe.
The rest ulichoandika huko chini ni ushabiki tu. Hili swali jiulizeni na mjijibu wenyewe timu bora kwa sasa ni ipi?Majibu bakini nayo wenyewe. Ukweli unaumwa nyie acheni tu.
London will always be blue
Ambacho unashindwa kuelewa ni kwamba Arsenal imekua timu shit, imekua na average players lakini hizo unazoziona namba za kawaida kuzifikia ulishindwa.Point uliyoongea hapo mechi 77-65=12 hesabu mechi 10 napunguza gap mechi 7 namaanisha nakufunga zote pengine hizo zilizobaki unaweza toa draw kwa sababu toka 2010 tumekutana mara 30 sisi tumeshinda mara 13, nyie mmeshinda mara 10 draw zilikua 7
Makombe 48-35=13 hapo unajua mwenyewe nini kitafuata ndani ya muongo mmoja ujao tunazidi kupunguza gap kwa sababu toka 2010 nimeshinda makombe 10 wewe umeshinda 5 unataka nikwambie nini unachohofia kwa Chelsea ndani ya miaka 10 ijayo? Mshaanza kuelewa wenyewe.
The rest ulichoandika huko chini ni ushabiki tu. Hili swali jiulizeni na mjijibu wenyewe timu bora kwa sasa ni ipi?Majibu bakini nayo wenyewe. Ukweli unaumwa nyie acheni tu.
London will always be blue
Chapati tu hiyo.Pamoja na yote Elnino Malavila , alikuwa mtu sana
Moja kati ya wachezaji bora niliowashuhudia wakipita Arsenal
Mashabiki tulishakusamehe , View attachment 1557957
Mm nilishamsameheChapati tu hiyo.
Mtu kama huyu, Adebayor, Van Persie, Fabregas, Cole, Song, Nasri n.k ni kuwaacha tu. Hata hii picha uliyoileta hapa ni kumpa umaarufu tu watu wameshamsahau.
Nikionaga comment fupi hivi najua kabisa hapa sindano imeingia.Unanifurahishaga kwa kupiga ramli
Mkuu usinilishe maneno wanaolalama ivyo ni wachache ambao naweza sema wana uelewa mdogo sana na mpira. Vuguvugu la kumtusi Lampard limekuja kuongezwa kuni na washabiki wengi kutoka humu wakijua watatuhamisha lakini baadhi ya wachache kutoka kwetu hawajui chochote wanafuata mkumbo tu. Hawajui kilichokua kinatucost pia ni kubadilisha badilusha makocha kila mara so wengi wao walikua wanafanya kazi kwa pressure ya kutaka matokeo ya haraka ndio maana unakuta hatuwezi kukaa zaidi ya misimu zaidi ya miwili tuko on form.Ambacho unashindwa kuelewa ni kwamba Arsenal imekua timu shit, imekua na average players lakini hizo unazoziona namba za kawaida kuzifikia ulishindwa.
Katika uzi wenu hua mpo bize kumlaumu Lampard na kusema hamumtaki. Arteta yupo hapa muda mdogo kuliko Lampard lakini kuna dira kaionyesha, nyinyi mnalalama bado Lampard haeleweki. Unafikiri hiyo gape utaikava kama kuchukua supa glu na kuiweka kwenye rekodi? Za kipigo na makombe? Huku mkikiri kocha wenu ni ujinga mwingine ulioletwa na bodi?
Timu yenu imecheza mechi ya kirafiki na Brighton, huku waliosajiliwa wote wakipata namba. Nikumbushe mmetoka nao ngapi ngapi.
Pamoja na yote Elnino Malavila , alikuwa mtu sana
Moja kati ya wachezaji bora niliowashuhudia wakipita Arsenal
Mashabiki tulishakusamehe , View attachment 1557957
Hata me nakiri nilimpenda sana, naamini fans wote na club pia ilimpenda sana na kumuhitaji.Mm nilishamsamehe
Alikuwa moja ya wachezaji niliowapenda sana
Sanchez
Ox Chamberlain
Theo walcoth
Santiago Carzola
Hana fadhila mpuuzi Yule..Hata me nakiri nilimpenda sana, naamini fans wote na club pia ilimpenda sana na kumuhitaji.
Pamoja na 'Arsenal darling' treatment aliyopatiwa pale, alituacha kipindi tunamuhitaji sana na club ilikuwa kwenye kipindi kigumu mno.
Aliondoka kikatili kwenda kwenye team ambayo hata haikumuhitaji ila ilimchukua sababu tu alipatikana on cheap baada ya kugoma kusign new contract.
Tulimtoa pale Barca akiwa bench warmer na aliambiwa ni 'surplus to requirements' tukampa heshima na ufalme ila alichotulipa sasa... yeye na wenzie walioondoka kwa nyodo hizo wote wameishia kutanga tanga tu.
Kabisa mkuu, aliacha 'ufalme' pale Emirates kwenda kuwa average player pale Old Trafford.Hana fadhila mpuuzi Yule..
Hatumlaumu kwa sababu ya kuondoka, wengi wameondoka ila issue ni unaondokaje?Tunamlaumu sanchez kwa alichokifanya lakin tunasahau kipindi kile arsenal ilikuwa inazingua hata sisi mashabiki tulikuwa tunaliona hilo na pili n kwa sababu alipoenda hakupata makombe....
Mkumbuke mpira n pesa
Unataka Gazeti kumbe? Basi nikikujibu kwa ufupi, ujue umeongea pumbaNikionaga comment fupi hivi najua kabisa hapa sindano imeingia.