Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sasa nakukubaliaje wakati timu yenyewe imeanzishwa 2003?Tushabikie mpira kwa amani mazee...
Sema tukubaliane kwanza Chelsea ndo Pride Of London, The King of the Jungleand London is Blue
Then ndo itafuata arsenal na tuendelee na mambo mengine..
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mtoto wa Kroenke alienda mazoezini akasema era ya kubana matumizi imepita tujiandae kuspend heavily. Akawaambia wachezaji yeye ndiye yupo front siyo baba yake.Hawa Atletico wataachia tu,
Update: Arsenal in the last few days have enquired for Thomas Partey. Atlético Madrid told again to Arsenal they only would accept €50m (release clause). [@FabrizioRomano]
Timu imeanzishwa 1910, iyo 2003 ni ipi iyo mkuu...bila Chelsea kwa sasa London ni utopolo tu..Sasa nakukubaliaje wakati timu yenyewe imeanzishwa 2003?
Arsenal haijawahi kuweka wazi bajeti yake , kamwe haitakuja kuweka waziMtoto wa Kroenke alienda mazoezini akasema era ya kubana matumizi imepita tujiandae kuspend heavily. Akawaambia wachezaji yeye ndiye yupo front siyo baba yake.
Hayo maneno yakawa encouraged na ile kuambiwa Arteta turned down a deal on Arsenal kabla hajafuatwa Unai kwakua alisema akija anataka pesa nyingi kwa ajili ya usajili.
Leo hii 50M imekua big deal. Na tuliambiwa kuna 250M kwa ajili ya usajili this summer?
Timu iuzwe kwa waarabu no way out.
Acha wewe makombe tuliyobeba ndani ya miaka kumi wewe unaweza kubeba? Juzi Chelsea women wamebeba hao mademu zenu wapo wapo tu wanauza suraNyie Chelsea mlioanzishwa 2005?
Weka head to head hapa Arsenal vs Chelsea
Hivi unajua ukichukua Mataji ya Chelsea na Tottenham ,hawafiki idadi ya Arsenal ya wanawake ,
Maana Arsenal wa wanaume ipo mbali sana
Juz juz hapa Bayern kawalamba 7Timu imeanzishwa 1910, iyo 2003 ni ipi iyo mkuu...bila Chelsea kwa sasa London ni utopolo tu..
Sisi ndo tunabeba London mabegani
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe Chelsea imeanzishwa 2005 kocha wa kwanza ni mourinhoTimu imeanzishwa 1910, iyo 2003 ni ipi iyo mkuu...bila Chelsea kwa sasa London ni utopolo tu..
Sisi ndo tunabeba London mabegani
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sasa nyie mngefungwa ngapi uku kipa ni MartinezJuz juz hapa Bayern kawalamba 7
Aouar anacheza namba ngapi ?Arsenal are in talks over a potential deal to sign Lyon star Houssem Aouar as Mikel Arteta looks to pull-off a double midfield swoop also involving Dani Ceballos, according to The Athletic.
Nadhani itakuwa Xhaka,ceballos na Aouar maana nguvu kubwa inawekwa hapo Lyon kuliko kwa ThomasPossibilty ya Partey inakuwa ndogo
Angalia hapa.Timu imeanzishwa 1910, iyo 2003 ni ipi iyo mkuu...bila Chelsea kwa sasa London ni utopolo tu..
Sisi ndo tunabeba London mabegani
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Haka kawimbo ka~Ndani ya Miaka 10 mtakiacha lini? Hivi hamuoni aibu kwa timu iliyoanzishwa kabla ya vita ya dunia kuongea huo utopolo dailyAcha wewe makombe tuliyobeba ndani ya miaka kumi wewe unaweza kubeba? Juzi Chelsea women wamebeba hao mademu zenu wapo wapo tu wanauza sura
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe unaongelea stori za miaka 10 ambayo hiyo miaka Arsenal alikua ana mtu anaitwa Frimpong, Djourou na vipaji vya academy na watoto wengine wa bei cheap.Acha wewe makombe tuliyobeba ndani ya miaka kumi wewe unaweza kubeba? Juzi Chelsea women wamebeba hao mademu zenu wapo wapo tu wanauza sura
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Attacking MDAouar anacheza namba ngapi ?
Huku kwetu mkoani Ruvuma, wilayani Mbinga kata ya Kihangi Mahuka kuna kijiji kinaitwa London itakuwa hiyo anayoiongeleaAngalia hapa.
Katika mara zote Arsenal na Chelsea zilipokutana Arsenal imeshinda mara 77 na Chelsea wameshinda mara 65.
Mara ya mwisho kukutana Arsenal ilishinda 2 kwa 1 na Arsenal ikachukua kombe la FA.
Ushindi mkubwa kabisa ulikua 1930 ambapo Arsenal alishinda 5 - 1 hilo deni lilikaa kwa miaka 84 mpaka Chelsea alipoifunga Arsenal 6.
Overall trophies Arsenal ina vikombe 48 wakati Chelsea wana vikombe 35.
Kiukweli kabisa rival mkubwa wa Arsenal ni Tottenham kisha anafuata Man U halafu ndiyo Chelsea.
Ndiyo maana mchezaji anaweza kwenda Man U au Chelsea ila inakua ngumu kwa Tottenham.
Kwahiyo Chelsea haina umuhimu kwa Arsenal, kabla ya 2003 umewahi kusikia timu inaitwa Chelsea? Arsenal imemanage kwenda UCL, kuitembezea kipigo Chelsea, kujiongezea trophies na huku ikiwa inajenga uwanja bila kununua wachezaji wa bei kubwa kama Chelsea walivyokua wakifanya.
Pia nimesahau, Chelsea haina uwanja nyinyi ni kama Yanga au Simba.
Sasa unaibeba London gani mzee? Ya Kinondoni?
Big No, Emery huyu ambaye Mwaka na Miezi kadhaa hana hata pattern inayoeleweka ?Emery ni kocha.
Hii formation tunayotumia yeye ndiye muasisi kwa timu yetu kuitumia.
Tulikua short on players na akaresort kwenye formation ambayo Ozil akasema timu yetu inakaba mno. Kuna watu wakasapoti maoni ya Ozil mi niliyapinga na nilitoa sababu.
Alimvumbua Rabiot na alikua njiani kumvumbua Guendouz.
He is good.
Afu mkuu unakosea unavyosema Lyon, leipzig na Atalanta ni timu zisizo quality, angalia wachezaji wao wanavyowindwa kwenye market utaelewa,Lyon hawataki deal ya kumhusisha Guendouz kwa aour wanajua mashine zipo kibao jikoniTusiwe na matumaini juu ya UCL baada ya miaka 3 kama Arteta alivyosema. Alijiunga Man City 2016 alikaa pale kama kocha msaidizi na tunajua City maisha yake UCL yapoje. All the while City ikiwa inamwaga pesa kwa yeyote waliyemtaka so ilikua na quality players ambao Arteta anasema Arsenal tunakosa.
Ni ukweli hatuna quality players tukiwa nao baada ya miaka 2 tutarajie UCL? Hapana, unakutana na timu kama Atalanta au Lyon au Leipzig kisha unagundua quality siyo kila kitu. Timu inahitaji spirit, commitment na winning mentality.
Kwenye Ngao ya Hisani Arteta anasema "Tukiwa vyumba vya kubadilishia nguo niliona timu nzima ikiwa na ari ya ushindi, waliamini wanaweza kushinda" hiyo ndiyo mentality inayotakiwa. Arsenal tulikutana na Liva na unaona kabisa Liva walikua bully, wakatuua 3. Winning mentality shattered fighting spirit gone.
Niliwahi sema Diego Simeon ni kocha tunayemhitaji kwakua ana uwezo wa kuifanya timu ikacheza jihad, huu uwezo alikua nao Redknap wa Totenham pia, same na Pochetino na Emery.
Timu iliyo na quality players hua na overconfidence siyo winning mentality ila timu kama Atalanta, Lyon au Leipzig wao huwa na winning mentality na ndiyo tunayoihitaji saa hii.
Akipata quality players akakosa winning mentality tutaona itakavyokua.
Hahaha mimi sina cha kusema.Big No, Emery huyu ambaye Mwaka na Miezi kadhaa hana hata pattern inayoeleweka ?