Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Like father like son....huyu Schmeichel ni soo...kachomoa kile kichwa ???????
 
Lets be serious wajameni....Bendtner hafai kuchezea Arsena kwa sasa......Huyu jamaa ni wa KUUZA .........

Nilihudhuria ile mechi ya kwanza emeirates watu wote walikuwa wanamzomea wanasema hata tuwape timu yoyote hata bure ili mradi atoke u pale manake uwape wake tu ni tabu
 
Kumiliki huku tunafunga manake mara nyingi tunamiliki mwisho wake tunapigwa counter attack tunajikuta matokeo tofauti.

na hicho ndo kinachokera zaidi....Si umeona hata hiyo counter waliyofanya leeds???? yaweza tokea hata leo.......
 
Sijui kama mtakubaliana na mimi naona mood ya arshavin hivi karibuni iko down sana
 
Huyu Sagna leo Amakimbiza Mbaya.....Hiyo Cross aliyotoa inaonyesha how Unlucky Arshavin he is........
 
kweli hivi vidogo inabidi mpaka half time viwe vvimekula tatu ndo vitakata tamaa. So far bado vinaamini vinaweza
 
Duuuh yani mpira unapita vile ndani ya box noma sana.Bendtner anasinzia wakati anamuona Sagna vizuri kabisa anavyoingia nao.
 
Tukimtumia vizuri Sagna kule kulia kupiga cross tunaweza kuwafunga nyingi sema tukitaka kulazimsha pasi ndani ya box itatuchelewesha kufunga mahesabu mapema.
 
Duuuh yani mpira unapita vile ndani ya box noma sana.Bendtner anasinzia wakati anamuona Sagna vizuri kabisa anavyoingia nao.

Angefunga Mwenyewe.......................Huyu BETINA sio wa Kumtegemea kwa sasa................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…