Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huu uzi mtauharibu kwa mambo ya hovyo na ajabu.
Kwani mkipuuza na msiposhindana kwa mambo ya hovyo mtapungukiwa nini? Na mtaongezeka nini? Burudani ni Amani na si kudharirishana na kushushana. Grow up Niggers..
 
Kwani Emi tunamkataba naye hadi lini? Siyo ishu ya kumwambia tu haendi popote na kumuongezea mshahara? I'm sure anataka namba Argentina ila Leno anataka namba Germany pia so sisi tubaki na makipa wawili top drawer. Imetusaidia sana tulipompoteza Leno kwa injury tukawa na Emi.
 
Huu uzi mtauharibu kwa mambo ya hovyo na ajabu.
Kwani mkipuuza na msiposhindana kwa mambo ya hovyo mtapungukiwa nini? Na mtaongezeka nini? Burudani ni Amani na si kudharirishana na kushushana. Grow up Niggers..
Not today
 
Pamoja blood , ila hawa London babies wanakera sana ,
 
Nadhan mkataba wake ni wa miaka miwili uliobakia
 
.@Jon_LeGossip: My understanding is that Lyon are looking for a fee of upwards of £43.2m(€50m) for Houssem Aouar.
 
Arsenal are planning to allow fans back into the Emirates Stadium for the Premier League game in October.
 
Kuna watu sio Wastaarabu, Upinzani sio lazima MATUSI, kejeli zinaruhusiwa ila MATUSI ni Ujinga na Utoto tu

Ushabiki wa Kitoto kbs unaletwa kwenye hii Thread sasa sijui CHUKI kuona Wenyeji wanajiachia kwenye Thread Yao?
 
Arsenal are planning to allow fans back into the Emirates Stadium for the Premier League game in October.

Mechi ya kwanza nyumbani ni dhidi ya West Ham na itachezwa bila watazamaji uwanjani.

Ni mechi ya pili dhidi ya Sheffield United ndio wataruhusu amshabiki uwanjani ni 3rd October.

Na yote hayo yanategemea na miongozo ya PL na serikali ya Uingereza inasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…