Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwanini Bellerin auzwe,Je ni injury prone, kashuka uwezo au hafit formation?

Maana binafsi naona kama karudi Sharp zaidi kwenye machi ya juzi
Kubaki kwa AMN baada ya Perfomance ya Juzi lazima auzwe RB mmoja so Hapo Bellerin atauzwa kuachia space

AMN atakuwa anacheza na Soares kama Back up
 
Sales ni majanga kutokana na aina ya Wages wanayopewa Arsenal kuwa Kubwa

Papastathopolous, Kolasinac, Torreira, Rob Holding, Elnenny na Mustafi Kuwauza Kwa FEE ni mziki mnene Offa nyingi zinakuja LOAN deals

ukizingatia pia Financial Difficulties baada ya Msala wa Covid-19 Ulaya
 
Arsenal Itacheza sana 3-4-3 System ndo maana Arteta katafta sana Beki "Sweeper" anaetumia LEFT FOOT kama Pablo mari na Gabriel

mara kadhaa tunaweza Switch 4-3-2-1 na weak Opponents

ila naona sana tukicheza 3-4-3 tukicheza na Strong Teams
 
Kama kigezo ni Consistency basi sawa,lkn ujue upande wa Mane na Robertson ni strong, beki yoyote angepata shida
 
Kama kigezo ni Consistency basi sawa,lkn ujue upande wa Mane na Robertson ni strong, beki yoyote angepata shida
Bellerin kiwango chake kimeshuka sana angalia 3 years ago na sasa video zake ndio utaamini kwa sasa hatabiriki na Arteta anajua hilo Sema wote hao ni wacatalunya huwa wanapendana sana hao watu ila bellerin kumaliza dk 90 kwa sasa kwake ni ngumu lazima afanyiwe sub kuna mambo mawili yanayoangusha kiwango chake either ni kudeal zaidi na mambo ya fashion or kuanza kutumika mapema sana kwa sasa ana 25 ila kaanza kucheza nafikiri ana 16 or 17 sasa ni wachezaji wachache sana huwa wanamudu na kuwa na consistency katika umri huo walioanza kutumika
 
Bellerin kwa arsenal ya sasa anaweza kuondoka japo huduma ya kushambulia tutaikosa
 
Huyu nyumbu mpaka sasa hajasajili halafu analeta chupi yake huku kwa wanaume waliojiimarisha.

Mkuu umetembeza chupi majukwaa yote ya timu za epl nikajua hili litakuwa arsenyeto lina stress za kushinda makombe ya mbuzi halafu epl na uefa wanashinda wanaume.
 

Attachments

  • Adjustments.JPG
    483.8 KB · Views: 4
Guardian claiming PSG have offered £25m for Hector Bellerin.

Say we push them in their final offer to pay between £30-£35m.

Timu lenu masikini.
Kwa hiyo mnategemea auzwe ndio mpewe hela MJIIMARISHE.
ARSENYETO kweli!
 
View attachment 1556062
Sasa hivi wekeni kwanza habari za belerini hadi apate mteja halafu ndio mtumie hiyo 30 kuleta wachezaji.


Timu lina njaa kama Yanga bhana!
Arsenyeto!
Mwendo wa ngapi ngapi?

Mwendo wa tatu tatu...

Mwendo wa ngapi ngapi?

Mwendo wa tatu tatu...

Ukiwa na beki kisiki kama Zouma na Rudiger na kipa hatari kama Kepa ni mwendo wa ngapi ngapi?

Mwendo wa tatu tatu.

Nyinyi hata mkicheza na WauzaMchicha wa Mwananyamala lazima GG itoke
 
Unajiimarisha au unafikiria kujiimarisha.
Mapunga yamekusanyana yameenda kuunda timu.

Timu nzima watu wana matako makubwa hadi mkicheza na timu pinzani mnawafunga kwakua wanashangaa miwezere ilivyozagaa uwanjani.

Wajinga sana shwain nyinyi.

Mimi mechi za Cheltako siangalii nikiangalia hua nadinda... halafu na mashabiki mmeambukizwa. Wote mna mizigo hatari hebu tuma picha yako nikuone wewe pig
 

Timu linaendeshwa kwa vikoba. Hivi mkiuza belerini hiyo hela mnasajilia au mnalipa mkopo wa Pepe.
Nahisi maarsenyeto yote yako kwenye vikundi vya akina mama ili yakope hela ya kusajilia ndio maana mna tabia za kukazwa kazwa.

Tuma picha yako tuone kama haupo na wanawake wenzako unatafuta hela ya kusajili.

Kumi mbili fc
Arsenyeto
 
Zidane kasema Hazard kamuambia asimpange kipindi hichi ambacho timu ikicheza bila mashabiki matako yake yanasikika yakipiga kelele uwanja mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…