Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tumekataa bei hiyo ,na Anaongezewa MkatabaAjakosa kapewa nafasi nyingine maana uwezo anao.
Uyo Martinez uzeni mapema la siivyo mtajuta ..uyo thamani yake haizid pound million 15.
Apo anawapiga changa la macho anakaza akisha saini mkataba ndo mutaona uhasiliana wake.Tumekataa bei hiyo ,na Anaongezewa Mkataba
,mkimpa kepa nafas ya 2 mtajuta
Kilia nahuHahaha me na uhakika uyu Martinez msipomuuza kwa AstonVilla mtkuja kulia tu ata degea alikuwa ivyo na mbwe mbwe nyingi. Uzeni mapema mzuie izo million 10. Leno mwenyewe alikuwa na mbwe mbwe kama izo
Lin alikataa kuchezea Gabon?Kwanza Auba ni msaliti ..amekataa kuchezea taifa lake ..huyu anapashwa kufungwa jiwe kubwa na kutupwa baharini
Pumbavu kabisa uyu Auba.
Dah ww jamaa umeshindikanaApo anawapiga changa la macho anakaza akisha saini mkataba ndo mutaona uhasiliana wake.
Nimeona hii , Arteta anasema amependa sana jins AlivyojiaminiUlivyofika muda wa penati Nelson akamfuata Arteta akasema "Nitaanza mimi" Arteta akamkubalia. Nelson anasema 2017 wakiwa stage ya matuta alimuomba Wenger apige penati lakini Wenger alikataa, kipindi kile Nelson alikua na miaka 17.
Jana kufungua dimba ilikua ni yeye akikumbukia tukio la nyuma na ambacho angeweza kufanya.
Penati kali ilikua ya Niles hata hivyo.