Arsenal (The Gunners) | Special Thread

According to @RodrigoRomano76, #Arsenal would give the 'yes' to Fiorentina to loan Lucas Torreira with a purchase option for €18m.
 
Hivi kuna uwezekano wa Willian kucheza leo? Maana sijamuona kabisa kwenye mazoezi na wenzake.
 
Hivi kuna uwezekano wa Willian kucheza leo? Maana sijamuona kabisa kwenye mazoezi na wenzake.
Haijulikan ,maana hata picha za mazoezi hawajazitoa

Kuna taarifa Martinez hatakuwepo yupo quarantine , kuna wengine wawili hawajatajwa .


So Leo tutarajie mchanganyiko wa U23 na Senior players

Arteta on today's game:

"We’ve had two training sessions & this game comes right in the middle of our mini pre-season. Obviously its not an ideal moment to play in this final but the players are motivated. Its another opportunity to win a trophy & we will go for it" #Arsenal
 
Hawa Liverpool wakua nao makini sana. Hii kujidai tunachanganya kikosi tunaweza kuchezea mkono au wiki.
 
Nakubaliana na wewe. Ila itakua vipi liver wake first eleven yao halafu sisi tuchanganye kikosi cha kwanza na watoto wa under 23? Tuongee uhalisia na sio kujitia umwamba wa hatuogopi.
Kawaida hiyo,tunacheza na under-23 kila mara, Saka,Nketiah,Willock,Matteo,Martinelli
 
Ndgu hiv sebalos bad ypo au kaondk?
 
FA COMMUNITY SHIELD

#Arsenal
23 final appearances
15 wins (last final won 2017)
7 lost (last final lost 2005)

#Liverpool
23 final appearances
15 wins (last final won 2006)
7 lost (last final lost 2019)

Last meeting:
Arsenal 1-0 Liverpool (2002)

#matchday
 
Katika ya makinda ,ninaowakubali sana Arsenal ,

Happy Birthday to Arsenal’s versatile defender & midfielder Ainsley Maitland-Niles, who turns 23 today!
 
Hayupo kabisa ,yupo bado Madrid

Leo prediction huenda Ikawa Xhaka Toreira au Xhaka Elneny aliyerud bado anatafuta timu alikuwa loan beskitas
Arteta nae mduanz kwel hiv unajua kwny mpira nafac ya kat ndo ya umuhim sana ssa yy mbon hazngatii hlo daaaaa
 
Elnemy labd habadlik uchezj lkin km akichez vle gme 2napotez
Elneny mbona mzuri tu, napenda aina ya uchezaji wake akiwa kama Deep laying midfielder..

Halafu anapiga pasi uhakika, mara chache kuharibu. Na ana confidence ya kutosha.

Na ni mzuri sana kwenye ukabaji akisaidiana na Xhaka.

Sina shaka game ya leo wakiwekwa pamoja watafanya vizuri sana.
 
Hpna ypo slow mkuu tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…