Hatuwezi kupaki basi,Usajili bado unaendelea, ina maana hauoni improvement under Arteta?Tuliwahi kua na timu ina Frimpong, Djourou n.k na tuliingia top four. With right tactics ya kuzitembezea kipigo timu ndogo na hizi kubwa kuzipakia basi tunaweza kumaliza hichi kipindi cha mpito bila aibu sana.
Mkuu sijasema Arteta kiazi.Hatuwezi kupaki basi,Usajili bado unaendelea, ina maana hauoni improvement under Arteta?
Mbona Unai alipoteza uelekeo kabisa,kila kitu kilikuwa zigzag,huyu kocha mpeni heshima yake kachukua FA cup akiwa na miezi saba tu,ukumbuke hii timu ilimshinda yule mshenzi Unai, asingeweza kufika hata robo fainali ya FA kwa mwendo ule na ndani ya Top 10 alikuwa hamalizi.
Arsenal sio timu ya kupaki basi No matter what, hayo mambo aliyaleta Unai,Kwa mfano sasa hivi unampata Aouar na Partey unapaki basi ili ugundue nini?Mkuu sijasema Arteta kiazi.
Na sijawahi kusema Emery kiazi, na sitakuja kusema kwakua binafsi namuappreciate. Nilishamtetea humu na sitaacha.
Nilivyosema kuhusu kupaki basi ni kwakua hata ikitokea tumesajili watu wengi bado mtihani hua unakuja timu kua na fluid movement katika formation husika ndani ya kipindi kifupi.
Timu inayojijenga bila kutumia pesa kutumia muda mkubwa kukaa sawa siyo jambo la ajabu (refer Liver) so basi tutapaki. Niamini.
Katika mambo ninayochukia ni mpira wa kupaki busArsenal sio timu ya kupaki basi No matter what, hayo mambo aliyaleta Unai,Kwa mfano sasa hivi unampata Aouar na Partey unapaki basi ili ugundue nini?
Kupaki bus hapana kabisa!.. Tumuachie kocha yeye anajua jinsi ya kuwakabili liver!.. Ndii maana mechi za mwishoni mwa msimu EPL tuliweza kuzipa kichapo timu kubwa zikiwepo man city na liver!.. Kiukweli Arteta anajua sana, tumuaminiMkuu sijasema Arteta kiazi.
Na sijawahi kusema Emery kiazi, na sitakuja kusema kwakua binafsi namuappreciate. Nilishamtetea humu na sitaacha.
Nilivyosema kuhusu kupaki basi ni kwakua hata ikitokea tumesajili watu wengi bado mtihani hua unakuja timu kua na fluid movement katika formation husika ndani ya kipindi kifupi.
Timu inayojijenga bila kutumia pesa kutumia muda mkubwa kukaa sawa siyo jambo la ajabu (refer Liver) so basi tutapaki. Niamini.
Binafsi ninajua game za City na Liva tulizoshinda msimu huu tulipaki basi...Arsenal sio timu ya kupaki basi No matter what, hayo mambo aliyaleta Unai,Kwa mfano sasa hivi unampata Aouar na Partey unapaki basi ili ugundue nini?
Arsenal insists on signing Amadou Diawara. In the last few hours the Gunners have returned to the office and are ready to make a move for the midfielder. #AFC willing to pay £27m, but an exchange with Torreira who Fiorentina are also interested in cannot be ruled out. [@CorSport]
Wewe ulishabakwa tulia Kama ukiwa unakunya mkuu, usishobokee na mwenzio abakwe!!!Kwa iyo unatakaje sasa..mtampiga na liverpool?
Imebaki size SMALL moja tu ,Kupaki bus hapana kabisa!.. Tumuachie kocha yeye anajua jinsi ya kuwakabili liver!.. Ndii maana mechi za mwishoni mwa msimu EPL tuliweza kuzipa kichapo timu kubwa zikiwepo man city na liver!.. Kiukweli Arteta anajua sana, tumuamini
Si nimeshawaambia msubiri dirisha lifungwe ndio mjue??Guys,
what are about Dani ceballos tutambakisha Tena kwa another season?
Maana Jana nimeona kwenye social media zake amechange profile picture ile alovaa jersey ya arsenal
Wameshasaini?? apa jamiiforum naona tayari.Arsenal sio timu ya kupaki basi No matter what, hayo mambo aliyaleta Unai,Kwa mfano sasa hivi unampata Aouar na Partey unapaki basi ili ugundue nini?
Coming days tenaThe renewal of Aubameyang will be announced in the coming days. It was too important for Arteta to keep such a strong player: leader, captain and extraordinary forward!️
@SkySport #afc #transfer
Kudaadeki zako wewe dogo.Wameshasaini?? apa jamiiforum naona tayari.