Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mna hela ya kununua uyo backup??Bellerin sidhan kama ataondoka labda lije dau zuri , akiondoka Ananunuliwa Backup
Ila sion Bellerin akiuzwa japo inasemwa sana
Ivi ligi inapoanza lazima arsenal awege wa kwanza kumbe.Its that time again where Arsenal becomes the leader of the table
Latest EPL standings
Team P W D L GD Pts
1 Arsenal 0 0 0 0 0 0
2 Aston Villa 0 0 0 0 0 0
3 Brighton 0 0 0 0 0 0
4 Burnley 0 0 0 0 0 0
5 Chelsea 0 0 0 0 0 0
6 C Palace 0 0 0 0 0 0
7 Everton 0 0 0 0 0 0
8 Fulham 0 0 0 0 0 0
9 Leeds 0 0 0 0 0 0
10 Leicester 0 0 0 0 0 0
11 Liverpool 0 0 0 0 0 0
12 Man City 0 0 0 0 0 0
13 Man Utd 0 0 0 0 0 0
14 Newcastle 0 0 0 0 0 0
15 Sheff Utd 0 0 0 0 0 0
16 Southampton 0 0 0 0 0 0
17 Tottenham 0 0 0 0 0 0
18 West Brom 0 0 0 0 0 0
19 West Ham 0 0 0 0 0 0
20 Wolves 0 0 0 0 0
Ivi ligi inapoanza lazima arsenal awege wa kwanza kumbe.
Hahaha kumbe ndi maana wanasumbua majukwaa ya wanaumeeeh ukiachana na ile rekodi ya unbiten hii pia ni rekodi yao nyingine.
Hahaha kumbe ndi maana wanasumbua majukwaa ya wanaume
Hawana tofauti na amberuri alivyopata bwana ..kila mtu alijua
Ukuda tu..Tuwatakie kumbukizi njema hizi nyumbu...
Tunatamba kwa sababu tuna kombe, ninyi mmeambulia nini msimu huu?Mimi nadhani wanatamba kwa sababu wanaongoza ligi. Tuwaache tu.