Naenda kuinunua jezi hii very soon ila na sisi tuchangamke mapema kwenye usajili ratiba kesho inatoka ya EPL#afc Arsenal away kit to be launched this week. Will be worn for the first time when Women’s side face PSG on Saturday.View attachment 1541435
Naenda kuinunua jezi hii very soon ila na sisi tuchangamke mapema kwenye usajili ratiba kesho inatoka ya EPL
Gnabry Gnabry Gnabry
Atulie Gabriel Magalhaes tayari anakaribia sasa kuja North London
Umeanza mkuu, huchelewi kumlaumu Aaron kwanini Partey ajaja
Aje mapema azoeane na wenzake pale kati sasa hivi mambo kama ya mtu apewe muda hatuyataki,tunataka tit for tat
Umeanza mkuu, huchelewi kumlaumu Aaron kwanini Partey ajaja
Huyu Gabriel anacheza nafasi ipi?sijawahi kumskiaHabari za Gabriel kutoka vyanzo vya ufaransa kama LÊquipe ,Telefoot ,RMC1 ndio za kuaminika 100%
Tayari LÊquipe na Telefoot wameripoti Gabriel anakaribia kujiunga Arsenal ,
RMC 1 wao wanasema maamuzi atafanya 100% atafanya usiku wa Leo,au kufikia kesho
LÊquipe ni chanzo kinachoaminika sana ufaransa ,ndio walikuwa wakwanza kutoa habari mwaka Jana kuwa Arsenal katuma ofa ya €80m kwa Lille kumtaka pepe ,huku media za U.K zikidai Arsenal hawezi kutuma hiyo ofa .
Tuendelee kusubiria hitimisho, hadi sasa 80% Gabriel Magalhaes anaelekea Arsenal.View attachment 1542548
LEFT CENTRE BACKHuyu Gabriel anacheza nafasi ipi?sijawahi kumskia
Hawa waingereza sijui vipaji vyao vinapotelea wapi..The arrival of Gabriel is expected to increase Arsenal’s efforts to move on unwanted defenders such as Sokratis Papastathopoulos who has been strongly linked with Roma and Chambers, who may return to newly-promoted Fulham where he was previously on loan. [@JBurtTelegraph]
Ngoja aende FulhamHawa waingereza sijui vipaji vyao vinapotelea wapi..
Kama huyu Chambers alikuja akiwa mzuri tu, sasa hivi kashakuwa mchezaji wa timu ndogo.