Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Partey haendi Arsenal, Mark my words
Kwanza ana release clause, tena ndogo tu, halafu Arsenal wanaendekeza njaa wanataka discount
Kwanza ana release clause, tena ndogo tu, halafu Arsenal wanaendekeza njaa wanataka discount
Kwa sababu Partey ni champions league player not otherwise. Partey anahitaji kwenda timu kubwa EPL sijui anajichanganya wapi naye

wakiwa katika situation kama hiyo wanajipiga ban kwa muda wa siku 3....