Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

David Ornstein

@David_Ornstein

Why has Raul Sanllehi left Arsenal?

How will be replaced?

What is Tim Lewis role in this?

Transfer/contract impact?

Where does it leave Arteta?

How about Edu + Venkatesham? With

@gunnerblog
IPO hii Article yote , kuipata unainunua

Naona ni ndefu sana kuiweka hapa

Humo ndan utakutana na Raul alivyopiga hela kwenye deal la Pepe ,Leno ,n.k

Utakutana na Sakata kumbe Alitaka kumpa mkataba Unai emery bila kuijulisha bodi


Utakutana na Sakata kumbe Alikuwa anawazuia Memba wa Bodi kukutana na Arteta bila kumuona yeye kwanza


Utakutana na Uamuzi wa Kroenke Family kuamua kumpa POWER Arteta na Edu kwenye usajiri .
 
Napenda ule ubishi wake dizaini kama viungo wa Liverpool na ndo Arsenal anaukosa viungo wetu wanakuwa laini sana kama sijui wakina Matteo Guendoz.
Ndio maana Arteta hataki hao kina Guendouz

Ndio maana anapambana am pate Partey ,ambakize Ceballos , aongeze AM mmoja ,japo amesema Willian atamtumia kama Playemaker

Hivi fikiria Zile battle na Liverpool ,man city jinsi Double pivot ya xhaka na ceballos ilivyoweza kuhimili , je Guendouz au Ozil wanaweza hizi shuguli kweli?

Ndio maana had kesho namlaani Unai emery kutuaminisha Ujinga

Chini ya Arteta tutafika mbali ,

Bodi ilimuweka Niles Kwenye list ya kuuzwa ,Arteta akawa hataki Dogo auzwe

Sasahivi ana Power ,naiman Dogo atabaki


Wakuuzwa ni hawa


Guendouz

Lacazette

Kola

Sokratis

Toreira
 
Kwa nini Holding na Chambers waondoke? Mbona bado wadogo hao. Nakubali Sokratis, Kolasinac inabidi wasepe lakini Saliba is unproven kwa hiyo hatuwezi kumpa 100% kuwa atafaulu uingereza.
If deal la Gabriel Magalhaes likitiki means tutakuwa na 8 Centre backs Mustafi, Luiz, Gabriel, Saliba,Sokratis, Holding, Mari na Chambers kikawaida hapo lazima wawili wasepe na situation ilivyo ni kati ya Holding, Sokratis na Chambers!
 
If deal la Gabriel Magalhaes likitiki means tutakuwa na 8 Centre backs Mustafi, Luiz, Gabriel, Saliba,Sokratis, Holding, Mari na Chambers kikawaida hapo lazima wawili wasepe na situation ilivyo ni kati ya Holding, Sokratis na Chambers!
Huyu Holding na mwenzie Chambers watolewe kwa mkopo wakati Sead na Sokratis wakiuzwa
 
Arsenal imewaonya ESPN kuhusu kusambaza habari kuwa Deal la Pepe ni Overprice

La sivyo watakiona cha moto




Arsenal deny claims of an internal investigation into the Pépé deal:

"To suggest there has been an investigation is grossly inaccurate and unfair and we request you remove it from your coverage. We have informed our lawyers and will take further action as necessary."
 
Oyaa mbona hamsajilii utadhani mna wachezaji wa maana mtashuka daraja vilaza nyiee.. Akati Man u msimu ujao kombee letu
Labda mchukue kikombe cha chai

Halafu manyumbu bhana, mnaongea hivyo kama mmesajili.. Hebu taja usajili wako uliofanya.

Nyie nafasi yenu msimu huu ni kugombania kutoshuka daraja maana kikosi chenu chote ni kibovu! Yani mnatakiwa mfumue kikosi kizima na msajili wachezaji wapya wote ili msishuke daraja
 
Labda mchukue kikombe cha chai

Halafu manyumbu bhana, mnaongea hivyo kama mmesajili.. Hebu taja usajili wako uliofanya.

Nyie nafasi yenu msimu huu ni kugombania kutoshuka daraja maana kikosi chenu chote ni kibovu! Yani mnatakiwa mfumue kikosi kizima na msajili wachezaji wapya wote ili msishuke daraja
Kama Barcelona wana Kikosi kibovu sisi nani babaa...!!
 
Kama Barcelona wana Kikosi kibovu sisi nani babaa...!!
Usijifananishe na Barcelona mbu wewe!

Tuishi humu kwanza
1597687538050.jpg
 
Huku mbona kuko hivi?? Hata msiba bado mushaanza kuomboleza

Dah yani munatia huruma na mechi bado hahaha

Khabari mbaya ni Kwamba Kante na Willian mnayemuhusudu watakuwepo kugawa kichapo kitakatifu kwenye hii takataka ..

Sisi tunajitahidi kuleta heshima London ninyi munazidi kuishusha..

Mtu kama Arteta siyo wa kuifundisha hichi kitimu..peleka arteta championship uko akapate uzoefu..

Leo naona mvua ya magoli maeneo haya..maana jukwaa lenu mumelitenga kazi kupiga domo kwenye jukwaa la wanaume uku mkipita na kanga moja iliyolowa maji..

#CFC
FRANSISCO ZOLA

 
Arsenal have signed 19-year-old midfielder Tim Akinola, who was released by Huddersfield Town last month. [@gunnerblog, @TheAthleticUK exclusive] #afc
 
Back
Top Bottom