Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Like this,Statement ya Willian. Nasi tunamtakia kheri katika utelkelezaji wa majukumu yake.
I think this club deserves to shine again and I want to be a part of this project.
Atakuwa ndio huyuNimecheka sana
Halafu kuna jamaa pale anaitwa Aaron sasa sijui ndio huyu wa humu,lakini sina uhakika kama yule ni msabato, ngoja nfanye uchunguzi.
Mbona tunahusishwa na wachezaji wengi sana, Diawara,J.Fernandes,Aour,coutinho,partey,Gabriel,Ni km hatuna priorities mkuu.Usajili Updates: Arsenal wanazungumza na Roma, kubadilishana Diawara na Lucas Torreira.
Kiaje wakuu, moja kwa moja kwenye taarifa za usajili.
View attachment 1537914
Lucas Torreira huenda akatua Stadio Olympico.
Arsenal wanafanya mazungumzo na Roma ya kubadilishana wachezaji wawili wa kiungo Lucas Torreira na Amadou Diawara.
Mazungumzo hayo yanahusu kufanya wachezaji hawa wawe wanacheza kwa mkopo baina ya timu hizo mbili.
Arsenal na Roma ya Italia tayari wana historia ya kufanya biashara ya usajili kwani wana mchezaji wa kiungo Henrikh Mkhitaryan ambae nae alienda kwa mkopo.
Mkuu kwa partey tuna aslimia ngapi kumchukua?Thomas Partey will join Arsenal this summer after agreeing a four-year contract. Arsenal will pay his release clause. The player will not play for Atletico Madrid again. [@TheAFCBeII] #afc
80%Mkuu kwa partey tuna aslimia ngapi kumchukua?
Tayari kuna edu huwez kuwaleta haoSanllehi kaondoka,wamrudishe Sven au wamlete monchi wa Sevilla
Lakini kuna mtu anapungua hapo mkuu kwny Football relationTayari kuna edu huwez kuwaleta hao
Cc. Aaron ArsenalMbona tunahusishwa na wachezaji wengi sana, Diawara,J.Fernandes,Aour,coutinho,partey,Gabriel,Ni km hatuna priorities mkuu.
Itakuwa ni kwa muda wote au dirisha hili basi?ARETA KUPEWA NGUVU KUBWA YA USAJIRI BAADA YA RAUL KUTIMULIWA
Sasa kazi kubwa ya ufundi ,vipi timu acheze , nani aje ,nani asije , yataamuliwa na ARETA NA EDU ,
KAMA ILIVYOKUWA KWA ARSENE NA DAVID DEIN
ZAIDI SOMA HAPA....
Arteta and Edu will now lead Arsenal’s transfer strategy, with Vinai Venkatesham the most senior football figure at director level. Sanllehi’s departure represents Arsenal’s fourth major reorganisation since Wenger left the north London club in 2018. [PA]
Mikel Arteta given more power over Arsenal transfers after Raul Sanllehi’s exitView attachment 1538081View attachment 1538082