Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
- Liverpool (PL winners) out of the UCL.
- Real Madrid (La Liga winners) out of the UCL.
- Juventus (Serie A winners) out of the UCL.
- Bayern Munich (Bundesliga winners) Loading...
It's written in the stars.
Ache ale bata kama kamejilengesha kenyewe unadhani inakuwaje.Halafu Auba aache kuzingua bhana! Kuwafunga Chelsea tu kaamua kuchukua Kademu kafupi kama hichi
Lakini kwenye butts kamejazia! Nadhani ndiyo yanayompagawisha
View attachment 1530694
Aaaaaah ina maana unataka kusema kuwa hujui kama jamaa anapenda kula takyoHalafu Auba aache kuzingua bhana! Kuwafunga Chelsea tu kaamua kuchukua Kademu kafupi kama hichi
Lakini kwenye butts kamejazia! Nadhani ndiyo yanayompagawisha
View attachment 1530694
msiende kucheza mpira wa kihuni (fouls) kama mlivyozoea, mtapigwa redcardSisi hatuendi kutegemea miujiza km huyo small mind Bayern speaker anavyo expect. Tunaenda kucheza mpira kama tunavyocheza na timu nyingine litakalotokea sawa tu na ndio matokeo ya mpira.
Angalia leo tunaenda mnywa bayani goli za kutosha.
Amini Kwamba...
UEFA ni yetu
London is BLUE
#CFC
Mnyama hatari kwa mabao huyu, Chelsea wanamfahamu!!ππππ
View attachment 1530985
Kwa mpira anavyoupiga Ceballos unadhani nani atakubali kukaa nje kati yao km Partey akisajiliwa?, maana binafsi sioni mtu wa kucheza as a playmaker kati ya Xhaka, ceballos na partey.Journalist Layth claim
Arsenal target transfer treble as Gunners line-up Coutinho and Partey while aiming to sign Ceballos permanently @GoonerFanzine
The Online Gooner https://t.co/9VXTP9b6gR
Kazi ipoKwa mpira anavyoupiga Ceballos unadhani nani atakubali kukaa nje kati yao km Partey akisajiliwa?, maana binafsi sioni mtu wa kucheza as a playmaker kati ya Xhaka, ceballos na partey.
Xhaka ndio mwenye uhakika 99% kuanzaHili Saga la partey,Xhaka, Coutinho na Ceballos likifanikiwa tutakua na Mid flani hatari sana, ila sasa nani wa kukaa benchi kati yao?
Mimi paka sasa 1st eleven yangu Xhaka,Ceballos lazima waanze,Tukipata Mid wote hao hata tusiposajili beki goli tutafunga za kumwaga,hapo Laca asiuzwe plus Willian, anayesajili afanye chapu asee