Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Taarifa ambayo hamtaipenda kuisikia wala kuisoma, Chelsea Bingwa na nyie mtajitahidi sana kupanda nafasi ya 6 kutoka ya sasa 8

Football Manager 2020 Simulation

Arsenal's season in 2020/21 with Willian

Despite Willian having a decent campaign, Arsenal had a Premier League season to forget in 2020/21, as Arteta's side finished in sixth place in the league table, behind Tottenham Hotspur.



They also under-performed in the cup competitions, going out at the last 16 stage of the Europa League and the quarter-finals of the FA Cup and the Carabao Cup.

According to our Football Manager 2020 simulation, as we've seen in previous simulations featuring the likes of Coutinho and Grealish, the arrival of Willian alone wouldn't be enough to make the Gunners top four challengers, let alone title challengers. But, Willian would be a good signing according to this simulation, even if it is rather short-term signing, with him being 31 years old.

As always, this is just a bit of fun, but it's interesting to see what kind of impact Willian could have at the Emirates Stadium next season if the club did manage to secure his signature.

Source: We 'signed' Willian for Arsenal next season and this is what happened
 
Mbona kama mnatumia nguvu nyingi sana katika hili suala,
imefikia kipindi hata mmesahau kutupa updates za Kai
,
Huyu Willian kawauma sana
sasa si mumpe mkataba anaotaka, si mna pesa nyinyi,

Na bado, mtaumizwa sana tu.
 
Uhakika ni kuwa Chelsea roho zinawauma kuona willian anawapungia mkono.
 
ARSENAL and SUPER AGENTS.

Habari za mchana ndugu zangu. Nimeona mchana huu nijaribu kuandika kitu kidogo kuhusu hiyo mada tajwa juu. Hii ni kwasababu kumekuwa kuna sintofahamu au kukerwa kwa baadhi ya mashabiki juu ya kutimuliwa kwa Cagigao na wengi wetu tumekuwa tunaona staili ya usajili inayotumiwa kwasasa sio.

Ikumbukwe pia kuwa Sven Mislitant wakati anaondoka ilisemekana kuwa ni walitofautiana na Rahul juu ya suala la usajili. Wakat Sven alikuwa anataka kutumia computer system kwenye kusajili wakat Rahul yeye alipendelea zaid kutumia network and connections.

Binafsi nafikiri hii ya Rahul ni nzuri zaidi ingawa nayo ina vihasara vyake. Sababu ambayo inanifanya nifikir hiv ni zifuatazo.

1. Hii ndio staili inatumiwa na timu nyingi kubwa dunian sasa.

Ikumbukwe kuwa wakati wa Wenger kocha huyu alikuwa hapendi kabisa kutumia hawa super agents. Hii ikafanya kukosa baadhi ya wachezaji wazuri. Wakat arsenal ilikuwa haitumii staili hiyo baadhi ya timu kubwa ilikuwa inatumia hiyo staili mfano Manchester united na baadae Man City. Hata kuimarika kwa Wolves kumechangiwa kwa kiasi kikubwa na Jorge Mendez ambaye kapeleka wachezaji wengi pale wazuri. Raiola naye amewahi kuinufaisha Manchester united kwa wachezaji wazuri.

2. Kila mchezaji ana wakala na mchezaji mzuri anamilikiwa na super agents.

Ni dhahir kuwa arsenal sasa inahitaj wachezaji wazuri sana na waliokomaa. Tatizo ni kwamba hao wachezaji wazuri wanamilikiwa na super agents. Hivyo kumpata huyo ni lazima uwe na ukaribu na hao mawakala lasivyo utamkosa.

3. Technolojia kurahisha mambo.

Kitambo kidogo ilikuwa ngumu kupata wachezaji wazuri bila kufanya scouting ya maana na ndio maana arsenal ikatengeneza scouting network kubwaaa sana. Hata hivyo technology ya kufanya scouting na analysis ya mchezaji unayemtaka sahiv imetanuka sana na mtu sasa unaweza kukaa kwenye kiti chako ukiwa na computer yenye system ya scouting ukapata taarifa zoteeee kupitia mchezaji fulani unayemuhitaj. Hivyo hapa sasa huhitaj kuwa na scout team kubwa bali kinachohitajika ni kuwa na right connection na wakala wa mchezaji.

4. Klabu miaka yote zimekuwa zikilipa agent fee.

Mashabiki wengi ambao wanapinga kutumia agents na connection wanafanya hivyo wakifikir kuwa inaigharimu klabu kwasababu lazima iwalipe maagents. Ingawa hiyo ni kweli lkn ni vizuri kukumbuka kuwa siku zote klabu zimekuwa zinalipa fee kwa mawakala. Kiasi gani unalipa inategemea na makubaliano ya klabu na wakala. Ikumbukwe kuwa mchezaji anaweza kuwa ni wa timu fulani lkn pia anamilikiwa na wakala flani. Hivyo unapomtaka lazima klabu yake ilipwe na pia wakala huwa anapata asilimia fulani ya fee. Mazungumzo kati ya mchezaji na klabu hufanyika kupitia wakala huyo mchezaji na sijawahi ona mchezaji hana wakala labda hapa bongo.

Ni hayo tu.
 
Di Marzio: Many clubs interested in Gabriel including United and Arsenal. Player has not agreed personal terms with any teams but talks ongoing
 
A meeting between Gabriel Magalhães & Arsenal is scheduled for today. Gabriel would be seduced by Arsenal & he is Arteta’s priority to rejuvenate the defence. Arsenal have made the biggest offer, exceeding Lille’s expectations.

“I would say 8/10” on joining Arsenal. [@NicoVdll]
 
Emi Martinez is attracting a lot of interest from a number of PL clubs. Valued at ~£25 million. #AFC
 
Telegraph:

Aubameyang will receive a pay rise and he has received encouragement that there will be sufficient addition to the squad to challenge for top 4 next season.
 
Namshukuru sana Aaron Asernal

Nimepata jezi zangu nikiwa Mbeya kwa uaminifu kabisa

L moja ....
XL moja

jumla mbili

Moja nimeshatinga teyari

Many thanks Aaron
 

Attachments

  • 20200806_175550.jpg
    155.9 KB · Views: 5
Dah umenikumbusha as
 
Auba anakaribia kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu

Hii ni baada ya kuhakikishiwa usajiri ndani ya kikosi katika kupambania mataji msimu ujao

Source: Sky sport News
 
Namshukuru sana Aaron Asernal

Nimepata jezi zangu nikiwa Mbeya kwa uaminifu kabisa

L moja ....
XL moja

jumla mbili

Moja nimeshatinga teyari

Many thanks Aaron

Mabasi yamefika? Na mimi nipo Mbeya nasubiri Jezi yangu
 
Dah mkuu
umenikumbusha advance ile move ya Luddism, wavunja mashine
naona players walikuwa wanataka kureact katika hili saga,
Maana COVID19 ilifanya players wakatwe 12% ya mshahara kwa makubaliano hakuna panga litakalopita kwa workers
Sasa wanaona uongozi umekiuka makubaliano japokuwa wamepunguza hilo kato mpaka kufikia 7.5% baada ya timu kupata ushiriki wa europa na kombe la FA,
Wachezaji wanareact kwanini panga hilo limepita na walishakubaliana?? Kuna hatari ya tarakilishi kuvunjwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…