Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
KATIMU HAKAJA-QUALIFY UCL MCHEZAJI GANI WA MAANA ATAKUJA HAPO?@gerardromero of @EsportsRAC1:
"Coutinho agent is still in talks with Arsenal and some other Premier League clubs."
Mbona hujaonekana tulipo chukua FA?. Acha shobo kwenye majukwaa ya watu.
Kilichopelekea Willian apewe mkataba wa miaka miwili ni experience yake kwa madogo lakini siyo kwamba ana cha maana cha ku offer kwa sasa. Sasa nashangaa mnavyofurahia kweli yan utafikiri mmemsajiri Mbappe au SanchoMbona unateseka sana
Nan kakwambia Willian ni bure?
Unajua signing fee ?
Kama mbovu why mlimpa mkataba wa 2yrs?
Ngoja tukupuuze
Unataka tuanzishe mjadala meingine ambao hutaweza kuhandle kwa sababu unajua uhalisia.Kichapo cha wembley bado kinakuwehusha
Subiri na Bayern akakuzike kabisa
Kama mtafanikiwa kufanya huu usajili atleast nitaanza kusema mnaweza rudi top six toka mid table. Dogo ni kitasa katika umri kama wakeGabriel Magalhães: Arsenal are in the race and have started talks with Lille. Napoli still interested but not moving yet because it’ll depend by Koulibaly future. Manchester United just had contacts with his agents but no talks with Lille atm. Game on.#AFC #MUFC #Napoli
FABRIZIO ROMANO
Hahaaa hamkufungwa na AubaUnataka tuanzishe mjadala meingine ambao hutaweza kuhandle kwa sababu unajua uhalisia.
Sawa acha kichapo cha Antony Tylor kiniwehushe.
Tumefurahi tumepika pilau?Kilichopelekea Willian apewe mkataba wa miaka miwili ni experience yake kwa madogo lakini siyo kwamba ana cha maana cha ku offer kwa sasa. Sasa nashangaa mnavyofurahia kweli yan utafikiri mmemsajiri Mbappe au Sancho
Tunachanganya vijana na wazee ,unakuja kutuponda hapa endeleaKama mtafanikiwa kufanya huu usajili atleast nitaanza kusema mnaweza rudi top six toka mid table. Dogo ni kitasa katika umri kama wake
Kabisa kabisa, Coutinho anakuwa anacheza juu kidogo ya Xhaka na Partey..
Ngoja tuishie hapa, haya mambo mazuri hayahitaji haraka.
Waswahili wanasema usiipigie hesabu pesa usiyokuwa nayo!na sisi tunasema "Tuwangoje waje!"
Mahesabu yenu aisee!, hayana tofauti na kilimo cha matikiti maji.Leno ushamnyang'anya namba
Mimi napenda mbele waanze PEPE AUBA WILLIAN
Hapa utapata pace ya uhakika ,
Nyuma yao wawekee Coutinho , xhaka na Partey
Kazi imeisha
Na mahesabu yanaenda vzr ,unatesekaMahesabu yenu aisee!, hayana tofauti na kilimo cha matikiti maji.
Sijateseka mzee! Mkifanikiwa kukamilisha usajili wote huo, litakuwa jambo zuri.Na mahesabu yanaenda vzr ,unateseka
WILLIAN jumatatu anatambulishwa
Gabriel Magahales close joining
Next week tunaanza mchakato wa coutinho