Amini mzee maana wanaona Kama tunafaidi vile afu isitoshe watatupiga hela ndefu kwa daniPermanent contract kwa Dani inakua ngumu Madrid kuiruhusu kwakua wao wenyewe Kroos na Modric umri ndiyo unawaacha. Rodrygo siyo mtamu kihiiiivyo kwahiyo kumuachia moja kwa moja hata kama we ndiyo ungekua Madrid naamini usingekubali.
Ukizingatia Dani anaonyesha kiwango kizuri.
Naona chache sana na ndio maana hata Community shield watakaocheza ni Vijana wadogo na sio first 11Two weeks? Mbona zinatosha sana
Partey anakuja
Arsenal walimpiga mkataba mrefu na kumpeleka mkopo tena Stuttgart kwa Sven mislitant aliyemletaga ArsenalSasa msimu si ushaisha, au alienda kwa mkopo wa miaka ngapi...
Hawa napoli huwa tunawapokonya sana wachezajiAccording to our information, Arsenal have overtaken Napoli and are well positioned to sign Lille CB Gabriel
Le défenseur Lillois Gabriel en route vers Arsenal?View attachment 1527031
No alienda dirisha dogo na msimu ushaishaNdio kaenda sasa hivi I think
Tunawaoneaga sanaHawa napoli huwa tunawapokonya sana wachezaji
Msimu ulipoisha ,Juzi hapa wa ujerumanNo alienda dirisha dogo na msimu ushaisha
Hahahah sio poa kabisa hapo sina wasiwasi kabisa tutamchukua tu kama wakiwa serious labda kama angekuwa man utdTunawaoneaga sana
Toreira
Leno
Pepe
Oh kama ni hivyo sawaMsimu ulipoisha ,Juzi hapa wa ujeruman
Arsenal ikampa mkataba mrefu na kumtoa loan tena
Man u wapo bize na SanchoHahahah sio poa kabisa hapo sina wasiwasi kabisa tutamchukua tu kama wakiwa serious labda kama angekuwa man utd
Braithwaite namtumiaga sana kwenye pes ps4 nikiitumia Barcelona. Ana aggression, speed, trickster na one two za hatari. Sijui km kwenye real life yupo hivyoCatalan Sport: Todibo, Rafinha, Coutinho & Braithwaite all have offers from from Premier Legaue clubs. Barca hope they will finalize deal for at least 2 of them by the end of next week..
Halafu wanatupigia sisi kelele kuwa hatuwezi sajili wachezaji wa bei kubwa, wakati wao nao ni Mafungu UnitedMan u wapo bize na Sancho
Wanalipa kwa mafungu matatu
Wanakusanya mastaa tu hawajui kwamba kunahitajika muunganiko ambalo ni jambo lingine na kuderiver ni jambo lingineMan u wapo bize na Sancho
Wanalipa kwa mafungu matatu