Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Upo sahihi kabisa ,beki mmoja muhimuSokratic anatakiwa asepe,
Dinno injury prone
Mustafi hasomeki leo anachemsha kesho anakaanga
Luiz umri umeenda, atatumika kwa muda mfupi tu,
Pablo yupo slow sana naamini kuna game hazitomwitaji, yupo kama BFG
Mabeki tegemeo ni Holding na Saliba ambaye hatuna uhakika kama atawahi kuchanganya na kwenda sawa na mazingira mapya, kupata beki mwingine mwenye quality ni lazima
Inasemekana wanataka Arsenal inataka kuaxhana na Luiz, sokratis, Holding, Mustafi na Kolasinac msimu huu. Labda huyo kocha kaona anaweza ziba vyema oengo la hao watakaoondokaNashangaa kwakua tuna mabeki wengi bado. Na kama shida ni hawa wengine umri unaenda kwanini tumfuate 27yrs? Tuna beki ana roho mbaya, Holding. Ni kiasi cha game time tu.
Kolasinac, Mustafi, Luiz na Sokratis wanaweza enda ila Holding? Mi sina cha kusemaInasemekana wanataka Arsenal inataka kuaxhana na Luiz, sokratis, Holding, Mustafi na Kolasinac msimu huu. Labda huyo kocha kaona anaweza ziba vyema oengo la hao watakaoondoka
Wakati mwingine dunia huwa sio fair kabisa, yaani yule goigoi Ozil anachukua £350,000/= kwa wiki then Auba anabembeleza alipwe £250,000/= kwa wiki bado club inasua sua, na hatupo Uefa ila jamaa anatuvumilia, Auba akiondoka hatuna cha kumlaumu hata kidogo.The Standard say Arteta wants to resolve Aubameyang’s future before stepping up his #Arsenal rebuild this summer. A new deal for Aubameyang is likely to cost Arsenal £40m over 3 years, with his pay due to rise to from £180,000-a-week to £250,000-a-week. New Aubameyang contract could cost Arsenal £40m over three years
Kwani Ozil kabakisha miaka mingapi kwenye mkataba wake ili atembee?Wakati mwingine dunia huwa sio fair kabisa, yaani yule goigoi Ozil anachukua £350,000/= kwa wiki then Auba anabembeleza alipwe £250,000/= kwa wiki bado club inasua sua, na hatupo Uefa ila jamaa anatuvumilia, Auba akiondoka hatuna cha kumlaumu hata kidogo.
Hivi vimishahara mbuzi vinatufanya tupokonywe silaha zetu kila siku, Striker anaye contribute 30+ (goals + assists) kwa msimu tena kwenye timu mbovu kama yetu, akienda timu iliyokamilika ni balaa tupu.
Tukimpoteza Auba kupata striker wa kiwango chake labda tumuombee Martinelli awe na hiyo consistence, otherwise hatuna jeuri ya kumpata sokoni.
Kwa kweli hat mimi sidhani kama holding anaweza kuondoka. Huyu na Chambers ni wa muhimu sana kwetu, sema tu injury imewaandamaKolasinac, Mustafi, Luiz na Sokratis wanaweza enda ila Holding? Mi sina cha kusema
Kabakisha mwaka mmoja. Mkataba wake unaisha 2021Kwani Ozil kabakisha miaka mingapi kwenye mkataba wake ili atembee?
Kabakiza mwaka tu, huu wa 2020/2021 ndio mwaka wake wa mwisho. Tatizo kumtoa ni vigumu sana, ukizingatia kutojituma kwake, salary yake na nadhani kitu kingine cha hovyo alichojihusisha nacho ni issue za politics mfano ile issue ya waislamu kule China.Kwani Ozil kabakisha miaka mingapi kwenye mkataba wake ili atembee?
Holding is good, ila kwa kocha mpya anayehitaji kujenga kikosi na falsafa mpya ni vigumu sana kumvumilia mchezaji aliye injury prone kwa kiwango kile, nadhani hiki ndicho kitamcost.Kwa kweli hat mimi sidhani kama holding anaweza kuondoka. Huyu na Chambers ni wa muhimu sana kwetu, sema tu injury imewaandama
Kweli kabisa!. Ngoja tuone kocha atakuwa na maamuzi gani!Holding is good, ila kwa kocha mpya anayehitaji kujenga kikosi na falsafa mpya ni vigumu sana kumvumilia mchezaji aliye injury prone kwa kiwango kile, nadhani hiki ndicho kitamcost.
Kwa defender pamoja na mambo mengine, anatakiwa kuwa na sifa ya kuingia kwenye mazingira ya hatari kufanya defensive role na kutoka akiwa hana card wala injury.
Kitendo cha kuumia mara kwa mara kinamaanisha ama hana umakini wa kutosha au ana poor/bad decision making vyote hivi ni gharama kwa team. Anaweza iacha timu ikicheza pungufu kwa kula umeme (red card) au kuiingiza kwenye unnecessary sub na hivyo kuvuruga game plan yote.
Mkuu kwa maoni yako, hii move ya Willian unaichukuliaje?ARSENAL INAKARIBIA KUMNASA WILLIAN
Willian has refused another bid from Chelsea to extend his contract until June 2022. Still no agreement. Arsenal are now in talks with his representatives to sign him as a free agent - no bids from Barcelona at the moment.#AFC #CFC #transfers
Fabrizio ROMANO