Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo ndio maana una utoto mwingi, huo ni mkono wako.!!!!??? Kuanzia sasa sito jibizana na ww, humu jf unaweza kuwa unajibizana na mtoto wako kabisa.
Unatuthibitishiaje kuwa hii hali hauna DNA nayo? [emoji23]
 
Hii hapa DNA sasa linganisha na yako ipi kubwa. Angalau hapo Chelsea alipata goli ila hapa nyie takataka hamkupata chochote kile [emoji116][emoji116][emoji116]
Wewe [emoji1616] tena darajani hapohapo uwani kwenu unagongwa [emoji1616]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…