Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sikubahatika kumwangalia vizuri huyu mtu mkuu, unavyomwona anatufaa kweli,Arsenal inaweza kumsajiri muda wowote kuanzia sasa , inasemekana imempa ofa ya miaka mitano pia kupata namba kikosi cha kwanzaView attachment 1515228
Kwa wenzie U23 Kasumbua sanaSikubahatika kumwangalia vizuri huyu mtu mkuu, unavyomwona anatufaa kweli,
Walete huyo mtuKwa wenzie U23 Kasumbua sana
Aliwahi kupewa dakika timu ya wakubwa Dhidi ya Porto , Alisumbua sana
Kwa umri wake 17yrs , na Skills,pace alizo nazo, ni kama Pepe
Ila yeye anacheza LEFT winger ,
Kwa bei hiyo ya euro 15 tukimpata ni bei nzuri
Takataka kama takataka
Kwamba ni 5G km 5G,wachovu hawa lazima tujipigie, watapambna sn lkn kyupi lazima wavue
Sema za kina kepa na GiroudZa Proud of London huna?
Nakwambia uzi wa mwaka huu ukitongozea demu hakataiJezi Replica za Arsenal Saizi zote zinapatikana kwa bei ya 25,000 hapa Sinza dar
Kama unahitaji ni DM , Mzigo hadi kufikia Jana ulikuwa SOLD OUT
kuna mzigo unaingia jumatatu,
Tunaprint na Majina na kuweka number ukihitaji
View attachment 1516733View attachment 1516734View attachment 1516735View attachment 1516736View attachment 1516737
Unaprint bei gani kwa herufi?Jezi Replica za Arsenal Saizi zote zinapatikana kwa bei ya 25,000 hapa Sinza dar
Kama unahitaji ni DM , Mzigo hadi kufikia Jana ulikuwa SOLD OUT
kuna mzigo unaingia jumatatu,
Tunaprint na Majina na kuweka number ukihitaji
View attachment 1516733View attachment 1516734View attachment 1516735View attachment 1516736View attachment 1516737
Tumeuonaaaaaa