Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sawa, ila sio Watford ni Aston Villa,
Kwa kukuunga mkono tu katika suala la Saed mimi sijawahi kumuelewa huyu jamaa na mara zote nilikuwa napiga vita uwepo wake ktk kikosi, ana errors nyingi sana,
Nashukuru leo tupo pamoja kwa kukubali kuwa game ilitugeuka yaani sisi ndio tulikiwa Man city na Villa walikuwa Arsenal na kuhitimisha hakuna suala la bahati katika huo ushindi

Villa hawajashinda kwa bahati ni mbinu ndio walituzidi, vivyo hivyo katika game yetu dhidi ya City hatukushinda kwa bahati ila tuliwazidi kimbinu
....

Ndio maana nikakwambia mkuu siku ile haukuwa sawa
 
Pumba
 
Wewe ushawahi kubet?
Kwanini kama hujui kitu usinyamaze tu mkuu,

Odd ya 2. Katika beting ni ndogo?
Kwanini asingepewa 0.1 kama ana uhakika wa ushindi???
Huna ulijualo, pointless
 
Ilikuuma eeeeh
Sarr
 
Hatukua hatari kwa Villa kivyovyote ndiyo sababu sijasema ushindi wao ni wa bahati
 
Ngoja nisikujibu kwa sasa.
Ntakujibu msimu ujao.
 
Hatma ya Aston Villa kubaki EPL ipo mikononi mwa Arsenal.

Na Arsenal imemfanyia sawa sawa Villa kwanza imempa points tatu ambazo zimemtoa kwenye relegation zone. Na sasa Villa yupo nafasi ya 17 na Watford anashika nafasi ya 18.

Mechi ya mwisho ya msimu Arsenal kabakisha gemu na Watford, ambaye mzunguko wa kwanza alijichukulia points 3, Villa kabakisha na Westham.

Yaani ikatokea tumewafunga Watford, Villa anakua kabaki Ligi kuu bila kujali ataifunga Wetsham ama la. Ila akiifunga Westham basi anakua kajihakikishia zaidi.

Mara nyingi nimewaambia kijiweni kwangu kwamba Samata akienda Chelsea ana namba, akienda Man U ana namba pia (Hizo ni enzi za Tammy na Rashford kukosa shots hata tatu za wao na kipa na timu zikiwa hazina mbadala)

Mara zote Samata amekua akifika timu husik hukuta kuna mtu anaaminiwa kisha yeye humpindua huyo mtu na kwenye kikosi cha kwanza panga pangua. Amefanya hivyo Mazembe, amefanya hivyo Genk. Na nina imani atafanya hivyo Villa.

Arsenal shinda hili game nione kiasi gani Samata ataadapt.
 
Wewe ushawahi kubet?
Kwanini kama hujui kitu usinyamaze tu mkuu,

Odd ya 2. Katika beting ni ndogo?
Kwanini asingepewa 0.1 kama ana uhakika wa ushindi???
Huna ulijualo, pointless
Hata nami nimemshangaa.Anashangilia odds 2 kwa 3.Angekuwa mkali kama anavyojiaminisha angepewa moja sisi tukapewa 4 au 5.
 
To be fair haya ni mawazo yako zaidi kuliko reliable sources zinavyosema.

Umetumia kuangalia timu ilipo kwenye msimamo kisha umefikia muafaka ambao hauko sahihi.
 
To be fair haya ni mawazo yako zaidi kuliko reliable sources zinavyosema.

Umetumia kuangalia timu ilipo kwenye msimamo kisha umefikia muafaka ambao hauko sahihi.
Mnazi huyo mzoee tu
 
Alexandre Lacazette on the difference between Emery & Arteta: “It is a completely different way to manage a squad, a team, a different tactical vision as well - it is hard to cite all the changes, there are so many. They have completely different visions.”
 
Yaani unaongozwa betting tips.
Hata wakati arsenal anacheza na City alipewa 9 na akashinda pia na liver vivyo hivyo na akashinda sasa sijui kama bado hamuelewi.
Kocha anabadilika kila wakati na mfumo si mmoja tatizo uelewa wenu kwenye ubashiri mnatumia wengine wasiojua kama ninyi tu.
Tunasema probability lakini if other things remains constant sasa hesabu za probability ulizosoma vipi zilivyokupa majibu kwa game ya liver na man city.

Usiishi kwa kukariri mpira wachezaji wote wanabadilika wakati wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila favor ina faida kwa mtoa favor just a game.
Hata usizijue timu ila ukitazama zinapocheza utatamani moja ishinde ndiyo sasa Arsenal kwa hiari wameamua kumfavor Aston villa ukweli ni huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh.. huelewi hata consistency ni nini! Cant help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…