Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mnaacha jukwaa lenu uku limechacha kazi kukimbizana na majukwaa ya wanaume uku mnapita na kanga moja imelowa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalieni siku ya huzuni yaja..
Arsenal 1 - 3 Chelsea
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Nawe umerudi jukwaani.
Nawe umerudi jukwaani.
Formation ni 3 4 3Tupeni lineup.
Arteta anaUwenger sana Yani wenzake wanatengeneza winning team na kustick to it ila yeye anaanza kuleta majiribio tenaFormation ni 3 4 3
Martinez
Holding
Luiz
Kolasinac
Cedric
Torreira
Ceballos
Saka
Nketiah
Lacazette
Aubameyang
Naona ana imani na FA kutupitisha au ana uhakika kwakua sub 5Arteta anaUwenger sana Yani wenzake wanatengeneza winning team na kustick to it ila yeye anaanza kuleta majiribio tena
Hata timu pia imechachaMbona Uzi wetu umechacha
Westham alikutatuaAlafu nyie matakataka ndio mnakutana na Chelsea fainali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]