Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dr Rashford anawaangaliaaaa halafu anasema hiiiiiiii.
Tukutane Fainali Chelsea tunampiga 5 kesho.

GGMU
 
Nakataa bro. Arteta recently amekuwa akitumia 3-4-3 akicheza na wingbacks na wala sio 3-4-1-2

Ili ucheze 3-4-1-2 unatakiwa uwe na number 10 ya maana sana ambayo Sisi kwa sasa hatuna.
 
By nimeshangaa sijamaanisha Mustafi kakosea ila ni kwamba VAR imekua ni vigumu kuifavour Arsenal.

Ndiyo maana nikasema nimeshangaa.

Pia sijalewa.

Now notice kwamba umeongelea kitu hiko tu ambacho nacho umekielewa visivgo, hayo mengine kwanini huwezi kuongelea?
 
Nakataa bro. Arteta recently amekuwa akitumia 3-4-3 akicheza na wingbacks na wala sio 3-4-1-2

Ili ucheze 3-4-1-2 unatakiwa uwe na number 10 ya maana sana ambayo Sisi kwa sasa hatuna.
Namba 10 ya maana ambayo Emery alimuweka Ozil na Arteta ameshamuweka Auba au Pepe kwa nyakati tofauti ingawa nimeona kwa Liva na City ilikua 3 4 3
 
Mkuu ww ni genius achana na Hao matakataka aka mashabiki maandazi. Yes ni kweli kabisa ile back pasi ya vvd ndio ilifanya mpate goli mwingine anakwambia ni mbinu za Mwalimu hichi ni kituko
that was pressing, ndo inafanya urudishe mpira nyuma, kwa hiyo ni mbinu ya mwalimu, tumefunga against Soton,Norwich,liver n.k hata leo City alifanyiwa hivvyo ila Auba kaweka kwa pepe akadelay

Unaweza kucheki game ya Arsenal na Everton Youtube uelewe vizuri nn kinafanyika pale Nketiah anagonga post
 
Kwahiyo mkuu Martinez kuregister saves ni bahati??

Luiz kufanya blocks ni bahati na wala sio technique??

Mkuu naamini unajua maana ya kukaba nafasi/njia
 
Namba 10 ya maana ambayo Emery alimuweka Ozil na Arteta ameshamuweka Auba au Pepe kwa nyakati tofauti ingawa nimeona kwa Liva na City ilikua 3 4 3
Mkuu naamini ukilala ukiamka utakuwa vizuri, mimi najua kwamba huna shida ila Kuna jambo halipo Sawa nahisi, maana Hata kujibu comment unazijibu tofauti Sana kama hujaelewa kinachozungumzwa🔥
 
Hakika.

Na kama nlivyosema ushindi wa Leo AMN anastahili pongezi sana.

Game ilipoisha alipokuwa na David Luiz haieleweki alikuwa analia au kulitokea nini lakini yapo ambayo David Luiz ameongea nae
Huyu jamaa huwa talented ila shida yake ni blunders,nahisi analia kuona watoto wanacheza mbele yake(Willock)
 
Unajua kua tunaweza kutofautiana huku tunaheshimiana.

Mimi ninaweza nikasema Willock mzuri ukanipinga ila sitafikia kukuambia wewe umelewa au peke yako unamiliki tv.

Kuna vitu vinashangaza kidogo.

Anyway, kila mtu aendelee na deals zake.
🙏Sorry mkuu, najua nimeteleza usiniwekee kinyongo sikuwa na Nia mbaya,

Sorry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…