Kama tutakuwa na hawa
Partey
Coutinho
New CB
Saliba
Ceballos loan extension
Hawa wanatosha kabisa kupata timu imara
Wakiungana na Auba ,laca ,Xhaka, toreira , Leno,Martinez,KT, Saka , Pepe ,Cedric , Holding ,mustafi
Kwenye mfumo wa 4-3-3 tutakuwa na machaguo mengi yenye impact ,
Anatoka mtu anaingia mtu
Kama Auba anabaki ,sioni Klabu ikimleta winger ,