computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hii mibosi yetu inaweza ikarelax ngoja tushinde na hizi gemu ndogo ndogo zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli uone.Wanaweza kufikiri hapo tushakuwa bora kuliko Liverpool.
Hapana hakuna kitu kama hicho, bodies imeshaamua kitambo wanaenda sokonHii mibosi yetu inaweza ikarelax ngoja tushinde na hizi gemu ndogo ndogo zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli uone.Wanaweza kufikiri hapo tushakuwa bora kuliko Liverpool.
Rob hapa alikuwa anammind jamaa kwani alikuwa anamzongazonga
KisaikolojiaNext season kama Liva ni hii hii (as sijaona usajili) mjiandae.
Watu wanaposema tunahitaji beki ni kwa maana kuwa hawajaridhika na viwango vya waliokuwepo,Kuna huyo, Saliba, Mari, Luiz, Sokratis, Mustafi wote hao ni CB na bado tunaaminishwa eti tunahitaji mabeki na sisi tunakubali.
Usichoelewa hapo muhimili wao mkuu ni Jordan Brian Henderson, asipokuwepo huyo Klopp mwenyewe anachanganyikiwa....na niliwaambia kwakuwa mwamba ni majeruhi,mimi nakaa naKiungo cha Liva ni strong kinasapoti defense vizuri kikichanganyikiwa hiki na mwamba unatikiswa vizuri tu na unagundua kumbe Virgil ni overrated.
Hiki kiungo kimetumika kwa muda mkubwa, naamini ndiyo kinaelekea ama kinaanza kuelekea omega. Kocha akitumia akili za Ole za kutosajili kwa kuamini wakina Fabinho bado wapo na Minamino atamconvert kua CMF badala ya AMF basi na nyinyi mtaanza kuishi kwa matumaini.
Nilikuwa naitafuta sana hii,sisi huwaga tunaonewa sana aiseeeh...Auba aliifanya kama hii dhidi ya Palace, Eddie alifanya kama hii dhidi ya Leicester, na zote ni redcard straight.Eti hii ni yelow card ingekua kafanya yeye ungeambiwa ni serious foul na red card na VAR ingesimamia kidete na kuichunguza. Arnod yeye kapiga kilia na kushoto lakini kapewa kadi ya njano na wala haikuchunguzwa
VAR ni kitukoView attachment 1508146
Yule jamaa ni underrated sana lakini akicheza timu yao kufungwa hua inakua ngumu kidogoUsichoelewa hapo muhimili wao mkuu ni Jordan Brian Henderson, asipokuwepo huyo Klopp mwenyewe anachanganyikiwa....na niliwaambia kwakuwa mwamba ni majeruhi,mimi nakaa nanikichinja
Mustafi ana rekodi nzuri kuliko van Dijk. Huu ni mzuri ndiyo sababu mimi hua nasema tatizo letu ni kiungo. Siyo bekiWatu wanaposema tunahitaji beki ni kwa maana kuwa hawajaridhika na viwango vya waliokuwepo,
Huwezi ukasajili na hawa wakaendelea kuwepo,ina maana ni baadhi yao wauzwe mfano Sokratic,Saed na Mustafi ,ikumbukwe pia Luiz ana 12months tu,
Lakini pia upande wa RB kuna mashaka makubwa maana Hector hayupo ktk ubora mzuri.
Xhaka ❤Jana binafsi sikuona umuhimu wa Pepe ila nilikuja kuona kuanzia dak 60..
Niligundua kwa nini mwalimu hamtoi... sababu ya mfumo wa counter... alimfanya Arnold kubaki nyuma pindi wanapo shambulia..
Niliona zaidi umuhimu wa Nelson tangu kipindi cha kwanza coz alikuwa ana haha ktk ukabaji na kukimbiza mipira..
Sema Ukiniuliza Man of the match kwa jana nitajibu KT sababu dogo akiwa uwanjani kwanza hana makosa mengi.. sababu anatambua anacho kifanya..kama ingekuwa anasoma shule angekuwa kilanja mkuu...
Ila performance ya XHAKA da huyu jamaa kwa sasa hivi amekuwa kama *joint ya timu* ndio mtu mwenye kuunganisha mbele na nyuma...
Saka alionekana kikwazo kikubwa kwa liva kwa kuweza kuficha mpira kila aupatapo..aliweza kumsaidia KT pale anapozidiwa...
Tujipange kwa Game zijazo ALLAH atufanyie wepesi tu..
ya bolt it is a matter of time, inavunjwaKuna records ngumu sana kuzifikia.
Hii ya Arsenal ni moja ya hizo records.
Naangalia pia ile ya Usain Bolt ya 9.58s 100m.
Ilikuwa kama training session, timu moja inashambulia na timu nyingine inaoonyesha uimara wa defence yakeIla jana tumekaba tuuu
Ila jamani hiz mechi nne zimeonesha tumeanza kuimarika. Ingekuwa enzi za Unai, tulikuwa tunakaa zote
ya bolt it is a matter of time, inavunjwa