Nadiss? Nilichoandika ni uongo au ukweli?Imagine grown up man dissing a talented 18 year-old boy.
Man toa pongezi panapostahili
Top scoring players aged under 19 across Europe’s top five leagues this season:Nadiss? Nilichoandika ni uongo au ukweli?
Now huyu dogo siyo talent. Messi na Haaland ni talent, huyu anatakiwa atie juhudi kama Ronaldo na Mbape, ila kwakua ni muingereza na mshajazwa upepo kua huyu ni van Persie mpya mnashindwa kuona ukweli.
Tukutane kati kati ya msimu. Tutamcheki yeye na Martnell
Mbna watetemeka SasaNadiss? Nilichoandika ni uongo au ukweli?
Now huyu dogo siyo talent. Messi na Haaland ni talent, huyu anatakiwa atie juhudi kama Ronaldo na Mbape, ila kwakua ni muingereza na mshajazwa upepo kua huyu ni van Persie mpya mnashindwa kuona ukweli.
Tukutane kati kati ya msimu. Tutamcheki yeye na Martnell
Nilisema ni mzee wa ndondokela.No player has scored more Premier League goals from outside the box than Mason Greenwood this season (4) #mufc [sky]
No Greenwood ndiyo hua anatetemeka. You can watch his clip. AgainMbna watetemeka Sasa
Wameandika skysport me nime paste kwani ni uwongoNilisema ni mzee wa ndondokela.
Anyway, nafikiri ulitakiwa kuandika teenager player as ukisemea player tu kuna Mahrez wa Man City.
Get your facts right.
Nyie takataka team yenu haina hela mnashindwa kusema ukweli kama mmetembeza bakuliKifupi kampuni ya KSE imenunua deni la Arsenal. Hii sasa inatoa nafasi kwa arsenal kununua wachezaji bila kuwa na presha
Official: Arsenal announce that they will redeem their fixed rate bonds, financed by a loan provided by KSE #AFC View attachment 1502236
Tahira peke ake ndio anaebishaNilisema ni mzee wa ndondokela.
Anyway, nafikiri ulitakiwa kuandika teenager player as ukisemea player tu kuna Mahrez wa Man City.
Get your facts right.
Nafasi ya 7 wakati tunaitaka top four, gari ndo lishawaka hivyo.Kazeni kazeni Arsenal angalau mmalize nafasi ya 7.
GGMU
Eh na matusi tena. Hahaha usiite mods
Kwani Nketiah ni mchezaji wa Manyumbu?Kweli Arsenal mnatia huruma na Nketiah wa kumkatia rufaa?
Takataka Kama hiyo ikija man utd itaokota mipira tuKwani Nketiah ni mchezaji wa Manyumbu?