Van Persie anasumbuliwa na matatizo ya misuli ya mapaja. Ni tatizo linalomkabili hasa pale anapotumia kasi katika mwenendo wake uwanjani kupita kiasi na kusababisha misuli hio kutanuka na kuachia.
Anyway huo ndio mpira na atakuwa benchi na wenzie Abu Diaby (maumivu mapajani), Tomas Rosicky na Eduardo wakiendelea na matibabu.
Lakini Samir Nasri na Theo Walcort wamerudi na wameenda Spain kwa ajili ya mechi hii muhimu.
We need a goal from somewhere, that vital away goal but we dont look like a time that is capable of scoring. Our defence is soo poor this evening, mungu tu ndo anasaidia, i'll settle for 1-0 at the end.