Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Marefarii wa PL hawaeleweki, sisi Fabregas alinyoosha mkono na kuunawa mpira tuliambiwa ni penalti leo sisi tumenyimwa na Dean ameona kabisa alikuwa na clear view:redfaces:
upumbavu mtupu ,huyu wenger hana maana kabisa.tumeshindwa kuchukua advantage kutokana na draw ya united jana kisa anapumzisha.sasa hizo mechi ngumu zinazo kuja tukishindwa kushinda si ndio tumeharibu zaidi? ujinga mtupu anatufanya tuwe wasindikizaji bila sababu.
Hapa ni kwenda kulala......
Hapa ni kwenda kulala......
Wenger hafai kuifundisha Arsenal..............alipaswa kuondoka siku nyingi sana,sema ndo hivyo tena............
Jirani.....Nawe hongera kwa pointi 3.....Safi sanaHongereni sana kwa pointi 1, si haba.
Hongereni sana kwa pointi 1, si haba.
Ng'wanangwa hongereni kuifunga Chelsea veteran!
Jirani.....Nawe hongera kwa pointi 3.....Safi sana
Ng'wanangwa hongereni kuifunga Chelsea veteran!
Nkwingwa..........hongera kwa ushindi wa leo,ile game ya siku ile tuliwakamia na tukawafunga....lakini cha ajabu AW kwa madharau yake leo kafanya 8 changes ugenini akitegemea mtremko,mara nyingi huwa tunafungwa kutokana na upuuzi wa huyu mzee(SIMPENDI kwa kweli na mara nyingi nimelisema hili)....Hayupo kiushindani kama wenzie akina Fergie,Carlo,Jose Mourinho n.k.............
Wenger wa ajabu sana kwanini hakumchezesha Fabregas hata kama anaumwa? hahahahaahah cooment zenu bwana zinaniacha hoi. Kocha ndiye anayeijua timu kuliko nyie wazee wa vuvuzelas
Hivi nyie, bila ROTATION mnadhan hao kina NASRI ni marobot wa kucheza dakika zoote mechi zote?, kama hamjui tht's wth costing Chelski now, hawana quality players wa kuziba mapengo ya kina Drogba na wenzao ambao wako off form, so its like Ancelloti hana choice nje ya walewale pensioners wake.
Tukiacha ushabiki, i have tht respect kwa Babu wangu SAF, atakupangia kikoc hapa cha wiki hii tofauti kbsa na cha last week na kikubwa KINA DELIVER....asa nyie kama wale wachezaji wenu wa buku mbilimbili kazi yao ni kucheza hatua ya tano ya Carling Cup huku EPL AW anawaweka benchi hadi pale akizidiwa, basi mwaka huu, EPL, CL na FA mtaisikia bombani. Squad depth (wth quality players) na rotation (kama yetu, sio ya mwehu Benitez), ndo road to success.
Usiku mwema watani.:whoo::whoo::whoo:
Wenger wa ajabu sana kwanini hakumchezesha Fabregas hata kama anaumwa? hahahahaahah cooment zenu bwana zinaniacha hoi. Kocha ndiye anayeijua timu kuliko nyie wazee wa vuvuzelas