computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
I think we are on the same side,unajua tangia Unai aondoke last year hadi sasa Arsenal ilikuwa ya 8 au 9 ila up to now Arsenal bado ni ya 9 ujueKocha hana shida kapewa zigo la miba, nimegundua hata Emery hakuwa na shida kivile tulimuonea tu
Sawa amini hivyoMkuu naona mpo kwenye relegation battle, umeamini nilichokwambia mchana
Hapana kaiacha ya 14.I think we are on the same side,unajua tangia Unai aondoke last year hadi sasa Arsenal ilikuwa ya 8 au 9 ila up to now Arsenal bado ni ya 9 ujue
Hatuwezi relegate.ila pia kushiriki hayo mashindano inabidi tusahau.Toti tumecheza gemu sawa na ametuacha mbili ila sidhani kama tutamgusa.Hapa ni kutulia tu sahivi pointi itakayokuja vizuri,itakayoponyoka haya.Huu msimu hakuna hata Europa, cha msingi tusishuke daraja tu
Punguza matarajio!Bora EPL ingefutwa tu
Mkuu samahani, vitu gani vinakufanya umkubali Arteta.Emery alilazimishwa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja na wachezaji wa hovyo, Arteta ni kocha mzuri akipata wachezaji wazuri for now hayupo under pressure coz anajificha kwenye mwamvuli wa Emery, lakini isingekuwa hivyo saivi ingekuwa #Artetaout, Arteta namkubali sana kuliko kocha yoyote nisingependa kuona anaiacha gunners.
Aisee, yaani hata jinsi ya kuwacheka hakuna.
Hili turubai mjue na wenzenu wanalihitaji, siyo ling'ang'anie kwenu tu.
Msiba unaofata mtalilipia wenyewe.
Mkuu mm ntawalipia kwan bei gani
Bado sijazama kwenye page zetu kuona comments za mashabiki.Ngoja niendeko.Emery alilazimishwa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja na wachezaji wa hovyo, Arteta ni kocha mzuri akipata wachezaji wazuri for now hayupo under pressure coz anajificha kwenye mwamvuli wa Emery, lakini isingekuwa hivyo saivi ingekuwa #Artetaout, Arteta namkubali sana kuliko kocha yoyote nisingependa kuona anaiacha gunners.
Huko pamechafuka watu wamevurugwaBado sijazama kwenye page zetu kuona comments za mashabiki.Ngoja niendeko.
Tactical approach yake nzuri,anakosa world class players wawili watatu,we mtu midfield Guendouz kufunga shida ht kuassist tabu,dakika ya 80 umefungwa bado unacheza back pass, kudrive timu anashundwa,hivi kwa zile knockout za UEFA ataweza huyo,kwenye ule mziki wanaocheza kina Thiago alcantara,James rodriguez mwanzo mwisho.Mkuu samahani, vitu gani vinakufanya umkubali Arteta.
Emery alilazimishwa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja na wachezaji wa hovyo, Arteta ni kocha mzuri akipata wachezaji wazuri for now hayupo under pressure coz anajificha kwenye mwamvuli wa Emery, lakini isingekuwa hivyo saivi ingekuwa #Artetaout, Arteta namkubali sana kuliko kocha yoyote nisingependa kuona anaiacha gunners.