Hivi yupo wapo siku hizi? jamaa ni bwege yule, angeendelea tungekuwa tunashindana kutoshuka darajaEmery alikuwa sio wa kuachwa uraiani anatanua,ilitakiwa awekwe gerezani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Falasi huyu, yupo kwao Spain anatumbua pesa zetu tulizomvunjia mkataba.Hivi yupo wapo siku hizi? jamaa ni bwege yule, angeendelea tungekuwa tunashindana kutoshuka daraja
Wote tunaombea iwe hivyo ila sio rahisi japo kwenye mpira surprise hutokea.Tukimpiga Manchester City kwao hyo j5 kutakuwa hakuna kirusi narudia KIRUSI cha kutuzuia top 4 kwangu hii ndo mechi itakayotupa dira sababu bado tuna game na Liverpool,wolves,Leicester,spurs hizi ni game ngumu pia ila tukishinda j5 tutakuwa tumekiua hicho kirusi rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kapandishwa mbele kidogoGranit Xhaka bado yupo slow sana anafanya tunapoupoteza mpira mabeki wawe na kazi ya ziada dhidi ya timu yenye kufanya counter attacks.
Si mbaya tupo 5 points nyuma ya Chelsea na mechi moja ya kiporo.
Emery ametuingiza gharama kubwa sana aisee.
Wachezaji wengi bado wako kwenye football wilderness na Arteta anajitahidi kuwarudisha kwenye real football..
COYGs!!
Tunahitaji namba 8 mnyumbulifuWote tunaombea iwe hivyo ila sio rahisi japo kwenye mpira surprise hutokea.
Now tumekua na ugojwa wa kutotengeneza nafasi za kutosha kwenye ufungaji, pia tunaruhusu kushambuliwa.
Hope Arteta atayafanyia kazi haya mapungufu.
Kama mwalimu atakuja na mbinu nzuri pia wachezaji kujitoa kwa moyo plus away form tuliyonayo naamini tunaweza kupata matokeo ya kuridhisha. Kwangu mimi draw will be fair result.
COYG..............
Sent using Jamii Forums mobile app
Pepe anahitaji matengenezo , anaenda kulia sana akiwa na mpira anavyorud kushoto anakuta wameshamziba ,anarud kushoto na kupoteza chance , sasa wakakutana wote na ozil ni left foot
Nimemuangalia Pepe kwa umakini sana simzuri kwenye kutunza mipira anatanua sana miguu kitendo kinachosababisha kua nanafasi ya kupoteza mpira kwa urahisi nimchezaji anaehitaji sana space kubwa ili aweze kuleta madhara. Akishakaribiwa hua ana struggle sana. Haya ni maono Yangu lakini.Pepe anahitaji matengenezo , anaenda kulia sana akiwa na mpira anavyorud kushoto anakuta wameshamziba ,anarud kushoto na kupoteza chance , sasa wakakutana wote na ozil ni left foot
Alipoingia nelson pakabadilika
Nyama wewe toka uzaliwe leo ndio umeongea cha maana!
Naapia makosa yoote ya nyuma nimekusamehe numbisa
🤣
Hahahaha angalia tunaongoza ngap uko ..muna bahati hatukutani tena na nyieComments zako zinaonyesha umri wako na akili zako ni za kuvukia barabara kukwepa Bodaboda...
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia tunaongoza ngap uko..muna baati atukutani na nyie tena..
Wewe na ichi kikosi chako cha kuunga unga ata ikibak point moja unipi wasi wasi
Ujawai kusema tunafungwa alafu tukafungwa kweli..Kesho wanabondwa ww muache apayuke
Hahahaha hahahaha naBado point 5 uchomolewe hapo
Kina shefflied. Wanakupumulia kwa point 2
Everton kesho akikubaka
Baada ya wiki 2 unaletwa nafas ya 10