Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Everything is turning blue for Chelsea. Florent Malouda dithers, Fabregas gets the ball and it's his turn to be provider as Walcott fires brilliantly low into the net past Petr Cech. 3-0. It's a cruise
 
wawawawawa。。。。。。。。。North London is back...kumandengeres....Walcott Hoyeeeeeeeeeeeeeee..
hureeeeee3 wacha nasisi tulale kwafuraha leo,
 
Johan Djourou leo alikuwa na kazi ya kumdhibiti Didier Drogba na kazi aliotumwa ameimaliza.
 
Johan Djourou leo alikuwa na kazi ya kumdhibiti Didier Drogba na kazi aliotumwa ameimaliza.

Kacheza vizuri sana, hongera zake nyingi. Kuweza kumzuia Drogba asizione nyavu si kazi ndogo
 
Masanilo,peasant,rev kishoka na wengine woteeeeee wa darajani njoooni mtupe heshima yetu hapa.

Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee point tatu muhimu sanaaaaaaaaa.
 
Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ushindi mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hureeeeeeeeeee tujipongeze the gunners yaaani kiwango cha leo tungecheza hivi na Man U tungekuwa mbali
 
Thats it Arsenal deserved win came out of good and quality football for all to see and today Arsene Wenger put a timu there and the team delivered what fans want to get.

It is 3-1 good job.
 
Brogba kamkubali DJOUROU....Full kumpa mapongezi.....wawawawawaaaaaaaa I said Leo USHINDI LAZIMA NO MATA WAT???? Mmeamini????? ARSENAL NI NOUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Masanilo,peasant,rev kishoka na wengine woteeeeee wa darajani njoooni mtupe heshima yetu hapa.

Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee point tatu muhimu sanaaaaaaaaa.

Labda watakuja baada ya donge kupungua maana leo walishazitia 3 points kibindoni kwa kujua sisi ni uchochoro wao. Hawakujua na sisi tulikuwa na mpango mwingine. Congrats AW! this is a big morale booster for the remaining games

Sasa ni kuomba mungu tuepukane na injury.

Arsenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

viva la arsenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
 
Uteja una kikomo.....Tumefurahi kwa ushindi..next day kesho kutwa tunakipiga na Wigan (----away].....
 
Sasa ni kuomba mungu tuepukane na injury.

Arsenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

viva la arsenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal

Naam hilo ni muhimu sana. Sikumuona Mkuu Mbu leo, labda alizuka kiwanjani.

Why BBC huwa wanachelewa sana Ku update TABLE on Arsenal wins??? Haters?? Ila chunguza Man u au Chlsea wanaposhinda huwa ni Live Updates.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…