Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hiyo midfield itakuwa nyanya sanaMtu wa kazi huyu jamaa, tutakua na relief kubwa sana kwenye midfield yetu.
Hivi umeshawahi kuwaza ikitokea Xhaka na Ceballos wakipata injury midfield yetu itakuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
A number of former Arsenal players have recommended Benrahma to the Arsenal board. Arsenal have been watching the player closely this season. [@francefootball]
Wasiuzwe!.. Wapelekwe kwa mkopo wapate uzoefu huko, pengine wanaweza kutufaa huko mbelenoHahaaaa kweli aisee
Wale watoto hawana Quality wanaongeza Quantity tu ya kikosi
Ndio maana Arteta summer anatajwa kuleta viungo wengine ,Automatically hawa watoto watatolewa loan au kuuzwa
Not optimistic at all..Arsenal are aiming to sign Thomas Partey for €50m in the summer should the midfielder choose not to renew his current deal with Atletico Madrid [@Dvinuesa] #afc
MUANDISHI JUANMA WA GAZETI LA MARCA AMBALO NI RELIABLE KWA HABARI ZA JIJI LA MADRIDI KATHIBITISHA NI KWELI ARSENAL WAPO SERIOUS KWA PARTEYNot optimistic at all..
Natamani hii post niiweke, tatizo watu tunajikuta wajuaji sanaKolasinac yumo kwenye "clear-out list" msimu ujao hatakuwepo.
Weka tu ndugu, mbona kama unafanya tusiaminiane humuNatamani hii post niiweke, tatizo watu tunajikuta wajuaji sana
Kumbuka neno lake sio sheria,inaweza ikawa na inaweza isiwe pia....inategemeana na kiwango chake na uhitajikaji wake ktk kikosi....Natamani hii post niiweke, tatizo watu tunajikuta wajuaji sana
pia arteta anampanga xhaka kama DM, toirerra anapigwa benchi....mfano ni mechi mbili zilizopita!
hapo unajitetea je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu naenda kumnyofoa hapo katika nafasi 5 za juu,
Mjiandae hapo aiseeehhhh....View attachment 1367858
Sent using Jamii Forums mobile app